juwaji peter
Member
- Sep 15, 2015
- 41
- 9
rucu ni money tu
nimekusoma Kaka,vyumba vp vyumba vya nje bei tunaweza kumudu wa hali ya chiniHostel ina uwezo wa ku-accomodate watu wachache jitahidini muwahi kutafuta makazi ni changamoto,ada mbele kama tai hakuna usajili bila ada,mazingira ya kusomea ni mazuri sana na kuna waalimu wenye weledi.
Unaweza pia kuuliza mengine maana nimesoma hapo na bado niko Iringa ivyo nina ABC's.
Nina short clip video ya mazngir ya Rucu...tupia watsup
0653575436
Watoto Wa kike wote njooni inbox mapema, nyie vidume tukutane la parte na VIP laaa hasha jiandae na sapu 2nd semester
Nmesoma hapo 2008 to 2012 LL.B, chuo kipo vema sana,wakufunzi wapo vema sana...ila unavuna unacho panda,no favor hapo. All in all library ipo vema,mazingira ya kusoma pia ni mazuri. So kukazana kwako kutakutoa na G.P.A nzuri. Karivubuni RUCU.
nimekusoma Kaka,vyumba vp vyumba vya nje bei tunaweza kumudu wa hali ya chini