Rucu

Rucu

juwaji peter

Member
Joined
Sep 15, 2015
Posts
41
Reaction score
9
wenzangu mliochaguliwa ruaha catholic university tukutane kujadili mipango na namna ya usomaji pia miundombinu ya Chuo ikoje,
:sick:
 
yes,nami nimechaguliwa huko na nmeangalia picha mbalimbali za chuo nimerizika na mazingira yake labda kama kuna mtu anaweza kutuambia changamoto za pale ili tujipange
 
Mazingira yanaonokana yako vzr,lakin ada naona changamoto cjauua kuhusu hostel na library
 
Hostel ina uwezo wa ku-accomodate watu wachache jitahidini muwahi kutafuta makazi ni changamoto,ada mbele kama tai hakuna usajili bila ada,mazingira ya kusomea ni mazuri sana na kuna waalimu wenye weledi.
Unaweza pia kuuliza mengine maana nimesoma hapo na bado niko Iringa ivyo nina ABC's.
 
Watoto Wa kike wote njooni inbox mapema, nyie vidume tukutane la parte na VIP laaa hasha jiandae na sapu 2nd semester
 
Hostel ina uwezo wa ku-accomodate watu wachache jitahidini muwahi kutafuta makazi ni changamoto,ada mbele kama tai hakuna usajili bila ada,mazingira ya kusomea ni mazuri sana na kuna waalimu wenye weledi.
Unaweza pia kuuliza mengine maana nimesoma hapo na bado niko Iringa ivyo nina ABC's.
nimekusoma Kaka,vyumba vp vyumba vya nje bei tunaweza kumudu wa hali ya chini
 
Nmesoma hapo 2008 to 2012 LL.B, chuo kipo vema sana,wakufunzi wapo vema sana...ila unavuna unacho panda,no favor hapo. All in all library ipo vema,mazingira ya kusoma pia ni mazuri. So kukazana kwako kutakutoa na G.P.A nzuri. Karivubuni RUCU.
 
Vipi kak,cafeteria na vyumba nije ya chuo shngp by guessn!?
 
Ukipenda shusha no.ya cm tujuane na kuweka mipango Sawa
bila kujali jinsia,kabila wala rangi unaweza pia kutumia no zilizo tumwa na wadau hapo juu
 
nimekusoma Kaka,vyumba vp vyumba vya nje bei tunaweza kumudu wa hali ya chini

Yeah vyumba ni kawaida hata watu wa hali ya chini wanavimudu kuna mitaa chumba ni 50 ambavyo ni vizuri ila kuna uswazi unapata chini ya hapo muhimu wahi.
 
Mmenikumbusha mbali enzi hizo inaitwa RUCO , palikua na Kamuzora , Nkembo, na kichangani lakini pia palikua na Contena enzi chiku Abwao hajafikiria hata kua mbunge, palikua na maziwa ya Asas na mikate yake misele ni kihesa na kuchukua walimu wa Mkwawa, Nyama tulikula sterio sana na Bao tulicheza pale MR hotel na tulitafuna sana watoto wa Mwembetogwa enzi hizo akina Prof Komba na Jaji Mwaikasu wakiwa hot
 
Iringa sitoisahau kamwe misele kidogo Tumaini na Mafinga Ibony shimoni mara Makambako na Mbeya kuzuga kiaina na sijui kama Fungo bado yupo? Na jamaa alikua anaitwa Isack yule mrundi
 
Back
Top Bottom