Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
Kama mwanamke ana uhuru na munkari wa kuchagua bwana mwenye pesa zaidi ili aishi vizuri iweje wewe mwanaume uendeshwe na hisia bora liende na kutaka sifa ya kuwa una mke mkali mtaani.
Yani unaleta mwanamke bongo movie nyumbani ambaye hata mama ako ameanza kuumwa hoi mwanamke anakuambia amechoka kumuogesha na kumfuta.
#RudiniMashambaniKuoa
Yani unaleta mwanamke bongo movie nyumbani ambaye hata mama ako ameanza kuumwa hoi mwanamke anakuambia amechoka kumuogesha na kumfuta.
#RudiniMashambaniKuoa