Asante... naona unaanza kusalimu amri taratibu kuwa Mnyama mkali pengine kuliko wote mwituni anabeba ndoo na bado utanyooka tu mpaka umalize madeniNadhani TFF watakuwa hawako tayari kuwaachia yanga kombe liwe lao moja kwa moja msimu huu. Maana wataingia gharama ya kulitengeneza lingine, hivyo shilingi imegeukia upande wa pili. Msimu wa simba kudondokewa na mazari na yanga ni msimu wao wa kukomaa uwanjani hawatopata favour au mistakes yoyote ile kurahisisha matokeo ya ndani ya uwanja.
kessy hajawahi kucheza mechi yanga akiwa na mkataba na simba elewa hilo tatizo ni taratibu za usajili hazikuwa sawa alisaini yanga wakati ana mkataba bado na simba alianza kucheza yanga wakati mkataba wake rasmi umeishaHebu niambie wewe ndugu....
Ikiwa Kessy hakuwa halali kuichezea Yanga na kutozwa faini ya mil 50...zile mechi alizocheza kessy....zina uhalali gani.....!!??
kessy hajawahi kucheza mechi yanga akiwa na mkataba na simba elewa hilo tatizo ni taratibu za usajili hazikuwa sawa alisaini yanga wakati ana mkataba bado na simba alianza kucheza yanga wakati mkataba wake rasmi umeisha
Hakika mkuu.. Nashangaa wao leo wanatafuta huruma ya TFF dhidi ya African Lyon kwa kigezo cha eti wanajua sheria, mbona wamemsajili Kessy akiwa na mkatabaNaamini kabisa ingekuwa hili suala limefanywa na klabu nyngine.....hatua zingechukuliwa zaidi
Mbona wao baada kumchezesha messy alama azijakatwa its not fairAlama zisingekuwa za muhimu, hakuna mtu angesumbuka kukata rufaa!
Kwenye mchezo wa soka alama 3 ni muhimu sana. Ukuona mpinzani amefanya makosa yanayokinzana na Kanuni lazima aadhibiwe!
Inakuwaje kila mtu angekuwa anatafuta alama 3 nje ya kanuni.? Kungekuwa na mpira kweli?
Au kwa sababu ni Yanga SC, basi wapotezee kwakuwa alama 3 kwao hazina umuhimu?
Taratibu zifuatwe!
Waliokaa nafasi za watu wanaanza kuhara sasa. [emoji23]
Mbona woa baada ya kumchezesha kessy alama azijakatwa it's not fairMbona wao baada kumchezesha messy alama azijakatwa its not fair
Kessy kasainishwa mkataba na yanga baada ya mkataba wake na simba kuisha.Hakika mkuu.. Nashangaa wao leo wanatafuta huruma ya TFF dhidi ya African Lyon kwa kigezo cha eti wanajua sheria, mbona wamemsajili Kessy akiwa na mkataba
Vyura FC chezeni mpira hamtuwezi kutung'oa tulipo
Na ml50 mnazodaiwa na Simba na 3ml za TFF ni kwa kosa gani..!?Kessy kasainishwa mkataba na yanga baada ya mkataba wake na simba kuisha.
Asahiv hamna uwezo uo, muhindi anadai pesa zake bil 11Mbona hamueleweki Mkuu!
Mara Yanga SC ikishinda inanunua mechi na Marefa.....
Mara Yanga SC haina pesa inatembeza bakuli..
Simameni kwenye moja tu! Msiwe kama Manyumbu.. [emoji23]
Somen hpo juu hay ndo majib tff ndo wana makosa ya kumuidhinisha mchezaj kchez timu mbiliVenance Ludovick amesimamishwa kucheza VPL mpaka suala lake litakapokamilika kusikilizwa, mpaka sasa imebainika ni kweli ana leseni mbili zilizotolewa na TFF ambazo ni za kuchezea Mbao na African lyon, kwenye usajili wa mtandao TMS jina la Ludovick kule Mbao linasomeka Ludovick lakini African Lyon linasomeka Ludovic huku herufi K ikiwa imeondolewa, imeagizwa katika kikao kijacho wote kwa maana ya Mbao Fc ,African Lyon pamoja na mchezaji wafike na vielelezo vyao vyote ili wafikie tamati, suala la African Lyon kupokwa point halitakuwepo kwa kua mpaka mchezaji anacheza tayali alipewa leseni na mmlaka halali TFF hivyo kosa linakua kwa TFF kumpa mtu leseni bila ya kikao cha kamati ya sheria na hadhi za wachezaji kukaa means atakayeadhibiwa ni officer wa TFF aliyetoa leseni
Ni umbumbumbu wenu kuacha TFF iwe ndiyo Yanga yenyewe, mpira ni mchezo wa akili tatizo simba hamjajaliwa akili, mtaendelea kubaki wamatopeni lkn shukuruni sana mwaka huu mvua si nyingi sanaTFF SI NDIO YANGA WENYEWE....au unajifanya hujui......
Mkuu unaumiza kichwa bure wamatopeni ni mambumbumbu sanaKosa la Yanga kuhusu Kessy ni kupeleka jina la Kessy Caf kama mchezaji wa yanga wakati kessy alikuwa bado hajamaliza mkataba wake simba. ila kessy kaanza kuichezea yanga katika ligi kuu vodacom baada ya kuisha mkataba na simba na alisainishwa mkataba na yanga baada ya mkataba na simba kuisha. Ndio maana yanga wakapigwa faini
Ni umbumbumbu wenu kuacha TFF iwe ndiyo Yanga yenyewe, mpira ni mchezo wa akili tatizo simba hamjajaliwa akili, mtaendelea kubaki wamatopeni lkn shukuruni sana mwaka huu mvua si nyingi sana
Mkuu kikulachochako huwa nakuona unahekima sana lkn kwa hili umetumia mahaba na mihemko zaidi! Emu jaribu kutumia akili halafu jiulize hao TFF wanapatikanaje! Anzia hapo tu mkuuSimba haiwezi kuwa bingwa kwa kuwa chama cha soka cha nchi hii....kwa makusudi kabisa hakitaki simba iwe bingwa....bingwa wanaye mfukoni...
Mkuu kikulachochako huwa nakuona unahekima sana lkn kwa hili umetumia mahaba na mihemko zaidi! Emu jaribu kutumia akili halafu jiulize hao TFF wanapatikanaje! Anzia hapo tu mkuu