Rufaa dhidi ya African Lyon: Yanga kupewa alama zake 3 walizocheza dhidi ya African Lyon?

Rufaa dhidi ya African Lyon: Yanga kupewa alama zake 3 walizocheza dhidi ya African Lyon?

Nadhani TFF watakuwa hawako tayari kuwaachia yanga kombe liwe lao moja kwa moja msimu huu. Maana wataingia gharama ya kulitengeneza lingine, hivyo shilingi imegeukia upande wa pili. Msimu wa simba kudondokewa na mazari na yanga ni msimu wao wa kukomaa uwanjani hawatopata favour au mistakes yoyote ile kurahisisha matokeo ya ndani ya uwanja.
Asante... naona unaanza kusalimu amri taratibu kuwa Mnyama mkali pengine kuliko wote mwituni anabeba ndoo na bado utanyooka tu mpaka umalize madeni

Vyura FC wee..!
 
Hebu niambie wewe ndugu....

Ikiwa Kessy hakuwa halali kuichezea Yanga na kutozwa faini ya mil 50...zile mechi alizocheza kessy....zina uhalali gani.....!!??
kessy hajawahi kucheza mechi yanga akiwa na mkataba na simba elewa hilo tatizo ni taratibu za usajili hazikuwa sawa alisaini yanga wakati ana mkataba bado na simba alianza kucheza yanga wakati mkataba wake rasmi umeisha
 
Naamini kabisa ingekuwa hili suala limefanywa na klabu nyngine.....hatua zingechukuliwa zaidi
 
Naamini kabisa ingekuwa hili suala limefanywa na klabu nyngine.....hatua zingechukuliwa zaidi
Hakika mkuu.. Nashangaa wao leo wanatafuta huruma ya TFF dhidi ya African Lyon kwa kigezo cha eti wanajua sheria, mbona wamemsajili Kessy akiwa na mkataba

Vyura FC chezeni mpira hamtuwezi kutung'oa tulipo
 
Alama zisingekuwa za muhimu, hakuna mtu angesumbuka kukata rufaa!

Kwenye mchezo wa soka alama 3 ni muhimu sana. Ukuona mpinzani amefanya makosa yanayokinzana na Kanuni lazima aadhibiwe!

Inakuwaje kila mtu angekuwa anatafuta alama 3 nje ya kanuni.? Kungekuwa na mpira kweli?

Au kwa sababu ni Yanga SC, basi wapotezee kwakuwa alama 3 kwao hazina umuhimu?

Taratibu zifuatwe!
Waliokaa nafasi za watu wanaanza kuhara sasa. [emoji23]
Mbona wao baada kumchezesha messy alama azijakatwa its not fair
 
Hakika mkuu.. Nashangaa wao leo wanatafuta huruma ya TFF dhidi ya African Lyon kwa kigezo cha eti wanajua sheria, mbona wamemsajili Kessy akiwa na mkataba

Vyura FC chezeni mpira hamtuwezi kutung'oa tulipo
Kessy kasainishwa mkataba na yanga baada ya mkataba wake na simba kuisha.
 
Mbona hamueleweki Mkuu!

Mara Yanga SC ikishinda inanunua mechi na Marefa.....

Mara Yanga SC haina pesa inatembeza bakuli..

Simameni kwenye moja tu! Msiwe kama Manyumbu.. [emoji23]
Asahiv hamna uwezo uo, muhindi anadai pesa zake bil 11
 
Wakati simba wakitegemea kupata mamilioni baada ya kumuuza ajib,yanga wako bussy wanamwaga chozi kwa ajiri ya point 2 za mezani...shwaini kabisa.!!
 
Hizi rufaa nyingine ni kama za Yahaya Jameh, walishindwa nini kufunga magoli uwanjani? Hivi wangelishinda hiyo rufaa ingekatwa!?

Swali lako ni la maana sana. Kimsingi hapa ni kutafuta mteremko tu. Mimi huwa siamini katika kupata points nje ya uwanja. Kila kitu ni dk90
 
Venance Ludovick amesimamishwa kucheza VPL mpaka suala lake litakapokamilika kusikilizwa, mpaka sasa imebainika ni kweli ana leseni mbili zilizotolewa na TFF ambazo ni za kuchezea Mbao na African lyon, kwenye usajili wa mtandao TMS jina la Ludovick kule Mbao linasomeka Ludovick lakini African Lyon linasomeka Ludovic huku herufi K ikiwa imeondolewa, imeagizwa katika kikao kijacho wote kwa maana ya Mbao Fc ,African Lyon pamoja na mchezaji wafike na vielelezo vyao vyote ili wafikie tamati, suala la African Lyon kupokwa point halitakuwepo kwa kua mpaka mchezaji anacheza tayali alipewa leseni na mmlaka halali TFF hivyo kosa linakua kwa TFF kumpa mtu leseni bila ya kikao cha kamati ya sheria na hadhi za wachezaji kukaa means atakayeadhibiwa ni officer wa TFF aliyetoa leseni
Somen hpo juu hay ndo majib tff ndo wana makosa ya kumuidhinisha mchezaj kchez timu mbili
 
TFF SI NDIO YANGA WENYEWE....au unajifanya hujui......
Ni umbumbumbu wenu kuacha TFF iwe ndiyo Yanga yenyewe, mpira ni mchezo wa akili tatizo simba hamjajaliwa akili, mtaendelea kubaki wamatopeni lkn shukuruni sana mwaka huu mvua si nyingi sana
 
Walio yakoroga wachukuliwe hatua, ila matokeo ya uwanjani yabakie kama yalivyo kwani hata sisi yanga tulimchezesha kessy pasipo kufuata taratibu sahihi za usajili/ uhamisho
 
Kosa la Yanga kuhusu Kessy ni kupeleka jina la Kessy Caf kama mchezaji wa yanga wakati kessy alikuwa bado hajamaliza mkataba wake simba. ila kessy kaanza kuichezea yanga katika ligi kuu vodacom baada ya kuisha mkataba na simba na alisainishwa mkataba na yanga baada ya mkataba na simba kuisha. Ndio maana yanga wakapigwa faini
Mkuu unaumiza kichwa bure wamatopeni ni mambumbumbu sana
 
Mnapenda vya bure bure angalieni.. .............
 
Ni umbumbumbu wenu kuacha TFF iwe ndiyo Yanga yenyewe, mpira ni mchezo wa akili tatizo simba hamjajaliwa akili, mtaendelea kubaki wamatopeni lkn shukuruni sana mwaka huu mvua si nyingi sana

Simba haiwezi kuwa bingwa kwa kuwa chama cha soka cha nchi hii....kwa makusudi kabisa hakitaki simba iwe bingwa....bingwa wanaye mfukoni...
 
Simba haiwezi kuwa bingwa kwa kuwa chama cha soka cha nchi hii....kwa makusudi kabisa hakitaki simba iwe bingwa....bingwa wanaye mfukoni...
Mkuu kikulachochako huwa nakuona unahekima sana lkn kwa hili umetumia mahaba na mihemko zaidi! Emu jaribu kutumia akili halafu jiulize hao TFF wanapatikanaje! Anzia hapo tu mkuu
 
Mkuu kikulachochako huwa nakuona unahekima sana lkn kwa hili umetumia mahaba na mihemko zaidi! Emu jaribu kutumia akili halafu jiulize hao TFF wanapatikanaje! Anzia hapo tu mkuu

Unatakiwa ujue kuwa hili ni jukwaa....la michezo......

Yanga ni timu ya mbeleko kuanzia kwa marefa mpaka TIFUA TIFUA....
 
Mwanaume unapenda vya bure bure utaliwa tako....invoce nay wa mitego
 
Back
Top Bottom