Naam!NAKUBALIANA NA WEWE ILA MWAKA JANA PIA MADRID ALIONDOLEWA COPA DE LA REY KWA KUMCHEZESHA INVALID PLAYER. KAMA KWELI WAPOKWE TU POINT ILA KAMA HAKUNA MAPOVU YASIENDELEE KUTOKA WATU WAPIGANE UWANJANI.
Haituhusu tutawagonga tuu...[emoji350]Mechi hiyo sio ya mwisho!
Kizuri ni kwamba haujamalizana na Azam FC na haujamalizana na '' Mabingwa watetezi na wa kihistoria wa LigiKuu Tanzania bara".
Kwa hivyo endelea kujipa matumaini na faraja ila ndani ya nafsi yako naona moto wa kifuu ukiendelea kushika kasi... [emoji23]
Nikueleweshe tu Mkuu!Mbao nao wafuate 50,000/- zao
Hata kama ya Yanga SC isingefika bila shaka ya MBAO FC ingefika tu....Hizi rufaa nyingine ni kama za Yahaya Jameh, walishindwa nini kufunga magoli uwanjani?
Hivi wangelishinda hiyo rufaa ingekatwa!?
Mkuu! Unakosea kidogo.Nawaona wa kimataifa wakisogelea nafasi yao ya kila cku
[emoji23] ruvu shooting wanamtuhumu mchezaji wao mmoja kucheza chini ya kiwango!Mkuu! Unakosea kidogo.
Usiseme tunasogea kwenye nafasi yetu.
sema tunarudi katika nafasi pendwa ya wananchi.
Kinachosegea kinaweza kisifike, ila kile kinachorudi ni lazima kiwasili pale kinapo rudi..
.. [emoji23]
Kwa wenzetu mata nyingi utasikia kupigwa faini timu au wachezaji na hata marefa lakini wanajitahidi sana kuwa matokeo ya uwanjani yasiguswe na mtu!Hata kama ya Yanga SC isingefika bila shaka ya MBAO FC ingefika tu....
Kama sio Mbao FC basi klabu yeyote huko mbeleni ingekata rufaa juu ya tukio hilo.
Kumbuka!
Kanuni ziongoze ligi, huku kila mtu akiwania alama 3. Ukizipata nje ya wigo wa kanuni yakupasa kuziridisha kure ambako zinatakiwa kuenda!
Hatujawahi kuwa na hofu na wa Matopeni FC Mkuu!wangeshinda wangeshtk nini?? naona simba wanawapeleka puta na wamebk kudai ushind wa mezan
Mkuu bado umelala!?Haituhusu tutawagonga tuu...[emoji350]
Sijakuelewa Mkuu!Kabla ya yote tuanze na lililoanza la Hassan Kessy ili huu mchezo usihitaji hasira. Mwambieni kocha wenu Rwanda Amina kwamba simba hatujaribiwi.
Salamu ziwafikie vyura wa jangwani.
Nikueleweshe tu Mkuu!
Hizo mil 50 ni adhabu ambayo haijahusisha mchezaji kuhusika kucheza mchezo wa ligi.
Kama mchezaji amehusika kucheza mchezo wa ligi wa adhabu ya kanuni huukumu na huko kwenye mchezo.
Zingatia 'nature' ya tukio la makosa!..
50,000 /-??????????????La Kessy limekwisha hukumiwa!
Wameambiwa wafuate 50,000/= zao.