demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
- Thread starter
- #21
Naam!NAKUBALIANA NA WEWE ILA MWAKA JANA PIA MADRID ALIONDOLEWA COPA DE LA REY KWA KUMCHEZESHA INVALID PLAYER. KAMA KWELI WAPOKWE TU POINT ILA KAMA HAKUNA MAPOVU YASIENDELEE KUTOKA WATU WAPIGANE UWANJANI.
Nadhani Yanga SC sio klabu ya kwanza kuikatia rufaa klabu pinzani.
Umeeleza vyema sana hapo kwa Real Madrid.
Kuenenda kinyume na Kanuni (Deliberately) si uungwana kabisa kwenye mchezo wa soka.
Acha vyombo husika vitoe hukumu! Chochote kitakacho amuliwa kulingana na Taratibu ndicho kitakachokuwa muafaka.