Rufaa dhidi ya African Lyon: Yanga kupewa alama zake 3 walizocheza dhidi ya African Lyon?

Rufaa dhidi ya African Lyon: Yanga kupewa alama zake 3 walizocheza dhidi ya African Lyon?

Mkuu bado umelala!?

Tangu lini unawaza kumfunga Yanga SC ([emoji23]). Mara ya mwisho unamfunga "Bingwa wa kihistoria wa LigiKuu Tanzania bara" ilikuwa mwaka gani?

Hebu taja mwaka tu?

Mwaka tu!

Mwaka.
Mkuu ishu ya kumgonga yanga ni kawaida kwetu labda ukute umeanza kushabikia mpira awamu ya Magu[emoji14] [emoji14]
 
Mkuu ishu ya kumgonga yanga ni kawaida kwetu labda ukute umeanza kushabikia mpira awamu ya Magu[emoji14] [emoji14]
Hahahaha! Umeanza mwaka upi kushabikia Matopeni FC?

Hebu uliza Wamatopeni FC wenzako wakuambie.

1. Ni nani amemfunga mwenzake mechi nyingi? Tangu ligi ianze.

2. Ni nani kamfunga mwenzake mabao mengi? Tangu ligi ianze.

Nakupa Assignment hiyo. Baadaye nakuja kukusahihisha!
 
Au umeanza kuishabikia Matopeni FC baada ya kuifunga goli 5?

Hahahaha..

Mbumbumbu bhana mnanichekesha sana nyie vijana. [emoji23]
 
Je mngeshinda ungetafutata hizo point za mezani..? hakuna mpango huo mwaka huu chezeni mpira nyinyi Madeni FC.
 
kama yanga yanga wakipewa hizo point basi na Ndanda nao wapewe point zao walizo cheza dhidi ya Simba kwa simba kumchezesha mchezaji ambaye hayakamilisha vibali vya kufanyiakazi na kuishi Tanzania.
Mpira usipelekwe kisiasa na kimihemko ya Simba na Yanga.
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] Kumbe zinaumaee 5 ~ 0
c50af0c8a8a541ce6d67cb702a611505.jpg
88743c104713f95dedb896e47f7c6781.jpg

VIJANA WENGI WA MATOPENI FC HAMUWEZI KUKUMBUKA HILI..

KAMUULIZE HAJJI MANARA ATAKUPA STORY ZAIDI
.

HAPA MLILAZWA 5 KAVU.

HALAFU WALA HATURINGI NA KUJIDAI.... KWA KUWA NI KITU CHA KAWAIDA SANA.
 
Ulishapigwa 6-0 mwaka 1977.Kibaden akiwa amepiga hattrick. Mchezaji wa kwanza na wa pekee kupiga hattrick kwenye mechi baina ya Simba na Yanga.
Au ulikuwa hujazaliwa?Google na hiyo pia.
 
Tutalianzisha suala LA kessy ili nanyi mkatwe point 9
 
kama yanga yanga wakipewa hizo point basi na Ndanda nao wapewe point zao walizo cheza dhidi ya Simba kwa simba kumchezesha mchezaji ambaye hayakamilisha vibali vya kufanyiakazi na kuishi Tanzania.
Mpira usipelekwe kisiasa na kimihemko ya Simba na Yanga.
Mbona unachanganya Nazi kwenye Maziwa? [emoji23]

Punguza mhemko Mkuu.

Hizi ni kesi mbili tofauti.
 
Je mngeshinda ungetafutata hizo point za mezani..? hakuna mpango huo mwaka huu chezeni mpira nyinyi Madeni FC.
Hili swali naulizwa mara ya 4 sasa!

Hebu rudi post za awali.
 
Back
Top Bottom