Rufaa dhidi ya African Lyon: Yanga kupewa alama zake 3 walizocheza dhidi ya African Lyon?

Rufaa dhidi ya African Lyon: Yanga kupewa alama zake 3 walizocheza dhidi ya African Lyon?

kuna watu waliuliza lawezaje neno jema la simba kutoka TFF? UKIANGALIA safu ya TFF basi unaenda kuoga na kulala tu HAKUNA KITU HUMO
Mkuu nina hakika hii rufaa ingekatwa na Afrikan Lyon dhidi ya Yangaa....hili suala lingezungushwa mpaka ligi ingekwisha bila ya kupata majibu......

Only in Tanzania.....bingwa anapangwa na chama cha soka.....
 
Ameanza kucheza mechi kipindi ambacho Mkataba umemalizika....

Ni tofauti kabisa na hili la Huyu wa African Lyon.

Tumia utimamu kutafakari masuala.

Maajabu Haya Yapo Tanzania (TFF) tu Timu Kupewa Hukumu Ya Kumlipia Mchezaji Milioni 50, Lakini Mechi Alizocheza Ni Halali!!!!!
Sasa Kama Mechi Alizocheza Ni Halali, inamaanisha Huyo Ni Mchezaji Halali!!! Sasa Hiyo Hukumu ya Milioni 50 yanini???
Huu Mbeleko Wa TFF kuwabeba Yanga Ni Utamaduni Wa Soka la Tanzania...
 
c50af0c8a8a541ce6d67cb702a611505.jpg
88743c104713f95dedb896e47f7c6781.jpg

VIJANA WENGI WA MATOPENI FC HAMUWEZI KUKUMBUKA HILI..

KAMUULIZE HAJJI MANARA ATAKUPA STORY ZAIDI
.

HAPA MLILAZWA 5 KAVU.

HALAFU WALA HATURINGI NA KUJIDAI.... KWA KUWA NI KITU CHA KAWAIDA SANA.
Matopeni wana selective memory. Waulize nani bingwa wa kihistoria Tanzania? Hawakumbuki for thier convenience.
Watakuambia habari za Kombe la Mapinduzi, Kombe la Tusker.
Hadi kuifikia Yanga ubingwa wa Tanzania labda karne mbili zijazo
 
Ukisema tufukue makaburi utazidi kuchekwa mkuu, mtafute King kibadeni awakumbushe alichowafanyia miaka hiyo[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Goli 6 mtungi mwaka 1977. Tena na King Kibaden kupiga hattrick. Na ndio mchezaji pekee kufunga hiyo hattrick katika mechi baina ya Simba na Yanga.
 
Sasa kama suala la Kessy Yanga....amekutwa na hatia ya kumchezesha mchezaji ambaye si halali kwake na kuhukumiwa kumlipa Simba mil 50.....sasa zile mechi alizocheza Kessy....zina uhalali gani.....!!???

Kweli hii ligi inaendeshwa kimagumashi..........

Yaani mechi alizocheza ni halali lakini mchezaji mwenyewe sio halali........!!!

Only in Tanzania....
Mkuu hujui au umesahau? Kessy alizuiliwa kucheza mpaka TFF walipomruhus u kucheza huku suala lake lina shughurikiwa ili kulinda kipaji chake.
 
Goli 6 mtungi mwaka 1977. Tena na King Kibaden kupiga hattrick. Na ndio mchezaji pekee kufunga hiyo hattrick katika mechi baina ya Simba na Yanga.
Na ndiyo rekodi mpaka sasa kwa timu moja kufungwa goli nyingi baina ya timu hizi.
 
Imeiadhibu au imejivua lawama......sasa kama wameona kessy hakuwa na uhalali Yanga....na kutozwa milioni...hamsini.....hizo mechi alizocheza kessy Yanga zina uhalali gani.....!!??

Hili Swali Hakuna Mshabiki Wa Yanga Yoyote Anayeweza Kulijibu....
 
Wacha Unafiki Kujifanya Unalinda Kanuni Kumbe Unataka Vya Bure...

Mbona Siku ya Mechi Yenu Na Simba Lile Goli Lenu la Mkono Hamkuenda TFF kulikataa Wakati Kufungia Mkono Ni Kinyume Cha Sheria na Kanuni Za Soka???

Sasa Kanuni Gani Hizo Unazotaka Ziheshimiwe Wakati Munapozivunja Nyinyi Kwa Kucheza Mpira Wa Mikono Zinakuwa Ni Halali??

Na Je Tambwe Alipoushika Mpira Aliziheshimu Kanuni Kwa Kuuwacha Mpira na Kumuomba Refa Kuwa Amefanya Makosa?? Mbona Alifunga wakati ni Kinyume na Kanuni??

Acheni Unafiki Kujifanya Munalinda Sheria a Soka kumbe Lengo Lenu Munataka Vya Bure Vya Mezani.....
Mkuu!

Kwani lile tukia la Simba na Yanga si lilifikiwa muafaka!!!!

Kanuni zinasema kuwa mwamuzi ndiye anayetakiwa kuadhibiwa kwa makosa ya Uwanjani.

Au ulitaka mchezo urudiwe ili uridhike?

Hapana bhana! Tuache sheria na Kanuni zichukue mkondo wake.

Lingekuwa halijatolewa muafaka, basi tungeanza na hapo. Kuna shida gabi kuzungumzia suala lililotolewa muafaka?
 
kuna watu waliuliza lawezaje neno jema la simba kutoka TFF? UKIANGALIA safu ya TFF basi unaenda kuoga na kulala tu HAKUNA KITU HUMO
Kuna moja ya Kamati mule ndani inaongozwa na kiongozi wenu wa Klabu.

Hujawahi kusikia tukilalamika.
 
Matopeni wana selective memory. Waulize nani bingwa wa kihistoria Tanzania? Hawakumbuki for thier convenience.
Watakuambia habari za Kombe la Mapinduzi, Kombe la Tusker.
Hadi kuifikia Yanga ubingwa wa Tanzania labda karne mbili zijazo
Mimi naona memory zao ziko allergic matukio ya Yanga SC. [emoji23]
 
Ukisema tufukue makaburi utazidi kuchekwa mkuu, mtafute King kibadeni awakumbushe alichowafanyia miaka hiyo[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kwa kuwa hizo 5 mmeshinda juzi, basi mna haki ya kujibamba nazo.

Ila kwa kuwa 5 zetu tumewapi kitambo, basi hatuna haki ya kujigamba nazo.

Huo ndio Umbumbumbu ulio tukuka.. [emoji23]
 
Ukisema tufukue makaburi utazidi kuchekwa mkuu, mtafute King kibadeni awakumbushe alichowafanyia miaka hiyo[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Yawapasa muwe mnazungumzia zile bao 6. Sio bao 5.

Kila mtu kamfunga mwenzake bao 5 kwa hivyo hakuna la kujiganga kuhusu hilo.

Anzeni kuzungumzia kuhusu bao 6...(Ili muonekane ndio mafanikio yenu makubwa sana dhidi ya Mabingwa wa kihistoria)

Usisahau "hata Real Madrid ameshawahi mfunga Barcelona bao 11 kwa 1"

Mafanikio ya Klabu hauahesabiwi na magoli Mangapi umemfunga mpinzani wako. Kama ingekuwa hivyo,,,, ningekuja na total goal ambazo nimekufunga na kujigamba nazo mida wote.
 
Back
Top Bottom