Mkuu, acha waseme tu almradi hawavunji katiba ya nchiHalafu watasema mabingwa kwa point za kupewa?
Mkuu ishu ya kumgonga yanga ni kawaida kwetu labda ukute umeanza kushabikia mpira awamu ya Magu[emoji14] [emoji14]Mkuu bado umelala!?
Tangu lini unawaza kumfunga Yanga SC ([emoji23]). Mara ya mwisho unamfunga "Bingwa wa kihistoria wa LigiKuu Tanzania bara" ilikuwa mwaka gani?
Hebu taja mwaka tu?
Mwaka tu!
Mwaka.
Hahahaha! Umeanza mwaka upi kushabikia Matopeni FC?Mkuu ishu ya kumgonga yanga ni kawaida kwetu labda ukute umeanza kushabikia mpira awamu ya Magu[emoji14] [emoji14]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] Kumbe zinaumaee 5 ~ 0Au umeanza kuishabikia Matopeni FC baada ya kuifunga goli 5?
Hahahaha..
Mbumbumbu bhana mnanichekesha sana nyie vijana. [emoji23]
na mbao waende wakachukue 500/ (jero) lao African lion!La Kessy limekwisha hukumiwa!
Wameambiwa wafuate 50,000/= zao.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] Kumbe zinaumaee 5 ~ 0
Mbona unachanganya Nazi kwenye Maziwa? [emoji23]kama yanga yanga wakipewa hizo point basi na Ndanda nao wapewe point zao walizo cheza dhidi ya Simba kwa simba kumchezesha mchezaji ambaye hayakamilisha vibali vya kufanyiakazi na kuishi Tanzania.
Mpira usipelekwe kisiasa na kimihemko ya Simba na Yanga.