demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
- Thread starter
- #61
Figisu zipi hizo?Acheni figisufigisu chezeni mpira mnyama mbele kwa mbel[emoji12] [emoji12]
Mbona hampendi sisi tufanye figisu ili hali nyinyi mlifanya figisu za Kessy mpaka mkapata elfu 50'000/= zenu.
Au ndio mmegoma kabisa kufanya Fair Play kwenye tasnia ya soka Kama mlivyogoma Dhidi ya JKT Ruvu? [emoji23]