demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
- Thread starter
- #161
Ngoja nisaidie kumuelezea:-Sasa kama mkataba wake na simba uliisha na akawa halali kuichezea Yanga...kwenye mechi z ligi kuu.....zinazotambuliwa na CAF.....iweje tena iwe kosa kwa kessy jina lake kupelekwa CAF....hali ya kuwa amekuwa akicheza kwenye ligi hiyo..ambayo CAF wanaitambua na mkataba wake na Simba ulikwa umekwisha.....!!??
Kessy kasajiliwa kipindi "Mabingwa watetezi na wa kihistoria wa LigiKuu Tanzania bara" wakiwa kwenye michuano ua kimataifa kwa lengo la kutumika kule.
Kipindi anasajiliwa alikuwa eligible kucheza ligi na Caf. (kwa mujibu wa mkataba mpya).
Ila ameanza kucheza/kutumikia Klabu kipindi ambacho Mkataba wake umeisha! Hivyo mechi yeyote aliyo cheza katika kipindi hiko haiwezi kuathiriwa kwakuwa anakuwa amecheza akiwa nje ya muda wa mkataba wake wa zamani.
Kosa ambalo limepigiwa faini ya Mil 50 ni lile la kumsajili akiwa bado na mkataba na Klabu yake ya zamani na klabu yake ya zamani haijafikiana naye muafaka wa kuvunja mkataba ili ajiunge na Klabu nyingine yeyote.
sasa hapa kama hujaelewa! duh.