Rufaa ya kina Mdee mbele ya Baraza Kuu dhidi ya Kamati Kuu CHADEMA: Kicheko kwa G19, Kilio kwa kina Mbowe

Nilikuwa nakufuatilia nikiamini ni mtu mwenye uelewa kumbe hakuna ulijuwalo na umekaririshwa ujinga tu.

Unaelewa maana ya dawati? Atleast ungeandika Tiss kuna dawati la siasa kwa mbali huenda ningeona angalau umesimuliwa mambo machache halisi.

Lakini kama unadhani kila anayevaa kaunda suti ni Tiss basi upo gizani na ndio sababu mnafanya mambo ya kitoto sana.

Watu wa Tiss waliopo Nec si dawati ndio maana naomba unijibu kwanza una uelewa wowote kuhusu dawati ni nini?
 
Nusrat Hanje alitoka Gerezani baada ya dawati la TISS lililoko pale Bungeni kupata taarifa za mchakato wa kuapishwa na kufanya coordination ya kuhakikisha kwamba mambo yanakwenda sawa. Ni kama hamjui nchi zinavyoendeshwa vile!

[emoji15] Finally, the substance.
 
Yes 👏🏽 taking into consideration of what happened recently in October of this year, do you think he is a threat to national security?
In my opinion YES he is a threat.
 

Sina data za kunitosha kujua nani yuko ktk payroll ya SS. Kwa hiyo sitatoa maoni yangu hapa. Verification is the midwife of journakism
 
Reactions: BAK
Yes 👏🏽 taking into consideration of what happened recently in October of this year, do you think he is a threat to national security?
In my opinion YES he is a threat.

My analysis: it appears to me that, according to SS analysis, comparatively speaking, CHADEMA is a bigger threat to national security than mr. Jiwe is considered.
 
My analysis: it appears to me that, according to SS analysis, comparatively speaking, CHADEMA is a bigger threat to national security than mr. Jiwe is considered.
Habari ya Tiss nakushauri achana nayo huna unalolijuwa na wapo maafisa wengi tu wa Tiss wala hawajui chochote kuhusu Tiss.
 

Anzisha bandiko la topic hiyo. Hapa sio mahali pake. We have a different topic here.
 
Agreed but TISS is just a group of hooligans who are there just to safeguard their interest instead of the interest of the interest of the whole National that why we have become a laughing stock of the whole World even our neighbors who use to admire and respect us so much.
My analysis: it appears to me that, according to SS analysis, comparatively speaking, CHADEMA is a bigger threat to national security than mr. Jiwe is considered.
 
Ni wahuni tu wasio na sifa mbali mbali ikiwemo elimu ya kustahili kuwemo ndani ya TISS zaidi ya kuwa kada ndiyo sababu kuna mvutano mkubwa wa ndani kwa ndani pale TISS kati ya wahuni walioingia pale kwa joho la ukada na wale wenye sifa na elimu inayostahili. Wahuni wa joho la UKADA wanashinda vita hiyo ya ndani kwa ndani.
Sina data za kunitosha kujua nani yuko ktk payroll ya TISS. Kwa hiyo sitatoa maoni yangu hapa.
 
Siku hizi hatusahau thanks to technology but there is nothing that we can do but mdogo mdogo tutafika tu. Si unaona hadi Twitter magufuli kaipiga kufuli. Kwa sababu anaihofia mavitu yake.
Magufuli hapendi kabisa kupingwa. Kazuia Twitter anajua Kigogo ana influence sana na zile post zake zile acha kabisa. Wamefanya kila njia Kigogo2014 afungiwe,matokeo yake wamefanya awe verified.
 
Utumbo mtupu umeandika, tena inaelekea toka Lumumba , sawa tusubiri uamuzi wa wajumbe. Ujue unatafuta kuwawekea wajinga ajenda.
Wenye akili wanakuhurumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…