Rufaa ya kina Mdee mbele ya Baraza Kuu dhidi ya Kamati Kuu CHADEMA: Kicheko kwa G19, Kilio kwa kina Mbowe

Rufaa ya kina Mdee mbele ya Baraza Kuu dhidi ya Kamati Kuu CHADEMA: Kicheko kwa G19, Kilio kwa kina Mbowe

Umechekarika lakini bado ni upuuzi mtupu. Waambie COVID19 wenzio kurudi Chadema inawezekana tu ikiwa mtaomba samahani na kutema hiyo rushwa ya JIWE na ndugai ya viti maalum ila kama mnataka kuendelea kujifanya wajuaji MTAULA wa CHUYA.
Kakubana kwenye kona...Mama Amon. Umeshindwa kuruka kiunzi.
 
Ila wewe Mama B msema kweli ni mpenzi wa Mwenyezi Mungu. Mungu alikuumba ukaumbika hasa. Na namba yako ya simu ninayo ngoja tumalize haya mambo yenu ya COVID19 ili nianze mtongozo wa nguvu 😋
Eti?
Sema shida yako tumalizane hapa hapa.
 
Ila wewe Mama B msema kweli ni mpenzi wa Mwenyezi Mungu. Mungu alikuumba ukaumbika hasa. Na namba yako ya simu ninayo ngoja tumalize haya mambo yenu ya COVID19 ili nianze mtongozo wa nguvu 😋
Unamsaidia kutongoza kwani yeye hana mdomo.
Kwenda kule!
 
How do you ignore a woman as beautiful as Mama Amon? It is impossible mie ndiyo sababu nataka niingie mzima mzima na mtongozo mmoja hatari sana ila ni baada ya mambo yenu kusettle kwani akili yako yote sasa hivi iko kurudi mjengoni.
Suppose you are fighting for freedom from libido.
How do you ignore a woman?
Acha hizo!
 
How do you ignore a woman as beautiful as Mama Amon? It is impossible mie ndiyo sababu nataka niingie mzima mzima na mtongozo mmoja hatari sana ila ni baada ya mambo yenu kusettle kwani akili yako yote sasa hivi iko kurudi mjengoni.
Jielekeze kwenye hoja iliyo mezani.
 
Wakijichanganya kwenye huo uhuni, wasitegemee support yetu tena. Hiyo ruzuku wataila kwa muda mfupi, ila wakija baadae kutaka support yetu watakula jeuri yao.
Binadamu tumeumbwa kusahau. Mtakasirika ils with time mtasahau tu. Kama tulivyosahau sarakasi za Magu kwenye uchaguzi mkuu.
 
View attachment 1662438

BAK na Odhiambo nawajibu kwa pamoja, maana naona mnapigana tafu kunishugulikia.

NI hivi:

1. Fomu zilizoko NEC zina sahihi ya Mnyika ambayo ni halisi.

2. Dispatch book ya Katibu Mkuu, John Mnyika, ina mhuru wa NEC kuonyesha kwamba wamepokea barua na fomu zake.

3. Kwa hiyo, Mnyika aliandaa kila kitu halafu

(a) Ama mjanja mmoja akabeba mzigo na kukabidhi NEC
(b) Au Mnyika mwenyewe alipeleka na sasa anajishebedua kwa kukana.

4. Kwa hiyo, kuna watu wawili maximum wanaopaswa kuadhibiwa na Chadema.
(a) Mnyika kwa uzembe wa kushindwa kutunza Ofisi yake.
(b) Mtu mmoja X aliyeiba nyaraka kutoka kwenye ofisi ya Mnyika, endapo 3(b) sio kweli.

5. Kama huyo mtu X ni miongoni mwa wabunge 19, basi wabunge 18 hawana hatia, kwani, kwa mujibu wa hoja hii, ni vigumu kuthibitisha conspiracy.

6. Kwa hiyo, kelele za fukuza covid19 wote, nye nye nye, sijui nini, ni dalili za watu walioziba akili zao na kuzizuia kufikiria juu ya extra possibilities.
Mama Amon. Nilikuwa naheshimu hoja zako sana humu. Lakini ktk hili, umeonyesha mapungufu kushabikia uharamia uliofanyika kwa lengo la kuua upinzani Tanzania .

Kama unaamini udhaifu ni katika office ya Mnyika . Je ni nani aliemtoa Nusrat Hanje gerezani usiku kuwahi kiapo Dodoma asubuhi yake ?! Ukilijibu hili utaona ni nani anachezea akili ya waTz .

Viti Covid 19 ni vya Cdm kwa mujibu wa katiba . Huu ushabiki wa Ndugai & Ccm, unatoka wapi ?! Kama walifanya kila hila kuhakikisha Cdm inakosa majimbo !! Huu uwema wa Ndugai & Ccm kwa wanawake wa Cdm unatoka wapi ?!
 
Kama unaamini udhaifu ni katika office ya Mnyika . Je ni nani aliemtoa Nusrat Hanje gerezani usiku kuwahi kiapo Dodoma asubuhi yake ?! Ukilijibu hili utaona ni nani anachezea akili ya waTz .
Ndugu,

Kazi ya kuendesha nchi inatumia secret service kama nervous system inavyofanya kazi kwenye mwili wako. Hakuna kitu kinatokea mwilini bila central nervous system kushiriki. Kwa hiyo, kinachotokea Bungeni, Mahakamani, Gerezani na kwingineko kinaripotiwa sehemu moja kuu--ccordination point. Usiulize tena swali kama hili:nani aliemtoa Nusrat Hanje gerezani usiku kuwahi kiapo Dodoma asubuhi yake ?! It is a non-starter.
 
Back
Top Bottom