Rufaa ya kina Mdee mbele ya Baraza Kuu dhidi ya Kamati Kuu CHADEMA: Kicheko kwa G19, Kilio kwa kina Mbowe

Rufaa ya kina Mdee mbele ya Baraza Kuu dhidi ya Kamati Kuu CHADEMA: Kicheko kwa G19, Kilio kwa kina Mbowe

Siku hizi hatusahau thanks to technology but there is nothing that we can do but mdogo mdogo tutafika tu. Si unaona hadi Twitter magufuli kaipiga kufuli. Kwa sababu anaihofia mavitu yake.
Binadamu tumeumbwa kusahau. Mtakasirika ils with time mtasahau tu. Kama tulivyosahau sarakasi za Magu kwenye uchaguzi mkuu.
 
Ndugu,

Kazi ya kuendesha nchi inatumia secret service kama nervous system inavyofanya kazi kwenye mwili wako. Hakuna kitu kinatokea mwilini bila central nervous system kushiriki. Kwa hiyo, kinachotokea Bungeni, Mahakamani, Gerezani na kwingineko kinaripotiwa sehemu moja kuu--ccordination point. Usiulize tena swali kama hili:nani aliemtoa Nusrat Hanje gerezani usiku kuwahi kiapo Dodoma asubuhi yake ?! It is a non-starter.
Sasa usiirushie tena office ya Mnyika lawama na kuwabeza Cdm. Kwa kuwa unajua engineer wa mchezo ni nani [emoji120][emoji102]
 
Msalimie NUSRAT HANJE,Ikiwezekana muulize ALITOKAJETOKAJE GEREZANI?
Nusrat Hanje alitoka Gerezani baada ya dawati la TISS lililoko pale Bungeni kupata taarifa za mchakato wa kuapishwa na kufanya coordination ya kuhakikisha kwamba mambo yanakwenda sawa. Ni kama hamjui nchi zinavyoendeshwa vile!
 

Na wewe unaamini hii Nchi ina usalama wa Taifa? Au usalama wa wahuni, majizi, mafisadi na wasiojulikana?
Ndugu,


Kazi ya kuendesha nchi inatumia secret service kama nervous system inavyofanya kazi kwenye mwili wako. Hakuna kitu kinatokea mwilini bila central nervous system kushiriki. Kwa hiyo, kinachotokea Bungeni, Mahakamani, Gerezani na kwingineko kinaripotiwa sehemu moja kuu--ccordination point. Usiulize tena swali kama hili:nani aliemtoa Nusrat Hanje gerezani usiku kuwahi kiapo Dodoma asubuhi yake ?! It is a non-starter.
 
Ndugu,

Kazi ya kuendesha nchi inatumia secret service kama nervous system inavyofanya kazi kwenye mwili wako. Hakuna kitu kinatokea mwilini bila central nervous system kushiriki. Kwa hiyo, kinachotokea Bungeni, Mahakamani, Gerezani na kwingineko kinaripotiwa sehemu moja kuu--ccordination point. Usiulize tena swali kama hili:nani aliemtoa Nusrat Hanje gerezani usiku kuwahi kiapo Dodoma asubuhi yake ?! It is a non-starter.
Aisee [emoji848]
 
Na wewe unaamini hii Nchi ina usalama wa Taifa? Au usalama wa wahuni, majizi, mafisadi na wasiojulikana?
Kazi ya secret service popote duniani ni SUPPORTING THE GOVERNMENT REGARDLESS OF OF WHETHER IT IS GOOD OR BAD. To that extent, tunayo secret service.
 
Nusrat Hanje alitoka Gerezani baada ya dawati la TISS lililoko pale Bungeni kupata taarifa za mchakato wa kuapishwa na kufanya coordination ya kuhakikisha kwamba mambo yanakwenda sawa. Ni kama hamjui nchi zinavyoendeshwa vile!
Shida iko hapa.....[emoji850]
 
CHADEMA ikae kimya tu kwa sasa isubiri hii miaka minne. Hawa ni wakaidi itengeneze tena akina mama wengine mashujaa watakaochukua nafaai zao 2024. Its time now to dump all that disobeys Party integrity.
Unaweza kutusaidia sisi ambao si wana sheria kujua katiba ya chadema inasemaje kuhusu ni muda gani baraza kuu la chama linatakiwa kuitishwa baada ya rufaa kupokelewa?
 
Shida iko hapa.....[emoji850]
Ni kama hawa watu hawana habari kwamba:
-- Kuna dawati la TISS Bungeni
-- Kuna dawati la TISS Gerezani
-- Kuna dawati la TISS NEC
-- Kuna dawati la TISS UDSM
-- Kuna dawati la TISS everywhere

Na kazi ya madawati haya ni kufanya kile ambacho nervous system inafanya katika mwili wa mtu.

Ni shida!
 
Halafu sijaona mtu mlafi na mbinafsi kama huyu Halima Mdee.

Hili sakata lisingekuwepo jina lake ningejuwa angalau anapigana kuwainuwa Bawacha, lakini Halima amekaa bungeni miaka 15 na bado kwa ulafi nafasi hizi kajipachika yeye na fiancee wake na Uenyekiti wa Bawacha bado akabaki yeye.

Huu ni ulafi uliopitiliza.
kwa nafasi ya Mdee kama mwenyekt BAWACHA kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA ni lazima awemo viti maalum...ikiwa hana jimbo.
 
Nope! Umeshawahi kusikia katika Nchi ambazo Rais analazimishwa kujiuzulu? Ni kwa sababu SS wamekosa imani na huyo dikteta hivyo wanamuona hafai kuendelea kuwepo madarakani kwa maslahi ya Nchi husika na Wananchi wake.
Kazi ya secret service popote duniani ni SUPPORTING THE GOVERNMENT REGARDLESS OF OF WHETHER IT IS GOOD OR BAD. To that extent, tunayo secret service.
 
But what they are doing it’s USELESS to the people of this beautiful country. Kwenda kujaza TISS na mautopolo yasiyokuwa na sifa wala elimu ya kuwepo ndani ya TISS bali tu ni kada wa maccm ni UPUMBAVU wa hali ya juu na ndiyo sababu taasisi hiyo sasa hivi inadharauliwa kuliko wakati wowote ule tangu tupate uhuru kama inavyodharauliwa Taasisi ya Urais.
Ni kama hawa watu hawana habari kwamba:
-- Kuna dawati la TISS Bungeni
-- Kuna dawati la TISS Gerezani
-- Kuna dawati la TISS NEC
-- Kuna dawati la TISS UDSM
-- Kuna dawati la TISS everywhere

Na kazi ya madawati haya ni kufanya kile ambacho nervous system inafanya katika mwili wa mtu.

Ni shida!
 
Naona watu wa propaganda wanajaribu kuchuuza , na kupima upepo na nguvu ya chombo makini cha baraza kuu

Maamuzi ya balaza kuu.hayayumbishwi.na propaganda zozote ovu
 
Mama Amon. Nilikuwa naheshimu hoja zako sana humu. Lakini ktk hili, umeonyesha mapungufu kushabikia uharamia uliofanyika kwa lengo la kuua upinzani Tanzania .

Kama unaamini udhaifu ni katika office ya Mnyika . Je ni nani aliemtoa Nusrat Hanje gerezani usiku kuwahi kiapo Dodoma asubuhi yake ?! Ukilijibu hili utaona ni nani anachezea akili ya waTz .

Viti Covid 19 ni vya Cdm kwa mujibu wa katiba . Huu ushabiki wa Ndugai & Ccm, unatoka wapi ?! Kama walifanya kila hila kuhakikisha Cdm inakosa majimbo !! Huu uwema wa Ndugai & Ccm kwa wanawake wa Cdm unatoka wapi ?!
Bila kusahau ni Ndugai ndiye alisema Halima Mdee asakwe aletwe bunheni na pingu kisha akafungiwa mwaka mzima kushiriki vikao vya bunge, je Ndugai leo amepata wapi wema na huruma kwa Halima Mdee?

Kwa hakika hizi ni condom tu baada ya matumizi yake zotakwenda zinapostahili.
 
View attachment 1662261
Mhe. Halima Mdee na wenzake wakiwa katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge, Job Ndugai, baada ya kula kiapo hivi karibuni.

Sasa ni wazi kwamba, Mheshimiwa Halima Mdee na wenzake 18, ambao ni wabunge wa viti maalum kupitia CHADEMA, watarudishiwa uanachama wao asubuhi na mapema siku Baraza Kuu la CHADEMA litakapokutana kusikiliza rufaa yao waliyoiwasilisha kwenye Ofisi ya Katibu Mkuu wa CHADEMA, juzi tarahe 27 Desemba 2020.

Akiongea na mtandao wa Mama Amon, Mbunge mmoja wa viti maalum, ambaye hakutaka jina lake litajwe, alisema kwamba, kwa mujibu wa barua ya tuhuma dhidi yao, Mdee na wenzake 18 wanakabiliwa na mashitaka hafifu sita na ambayo hayana mashiko.

Anayataja hatua kwa hatua kama ifuatavyo:

“Mosi, tunatuhumiwa kupora madaraka ya Kamati Kuu ya Chama kwa kushiriki katika mchakato wa kula njama ya kujiteua kuwa Wabunge wa Viti Maalum, kitendo ambacho kinadaiwa kuwa kinyume cha ibara ya 7.7.16(q) inayotamka kwamba kazi za Kamati Kuu zitakuwa ni pamoja na kuthibitisha uteuzi wa wagombea Uspika, Ubunge, na Baraza la Wawakilishi. Barua haina maelezo yanayojibu maswali haya: tulitenda kosa lini, kivipi, tukiwa wapi, na tukiwa na nani? ”

“Pili, tunatuhumiwa kufanya kosa la usaliti kwa kupanga njama za kuhujumu chama, kitendo ambacho kinadaiwa kukiuka kanuni ya 3(a)(i) katika Mwongozo wa Kamati za Maadili za Chama. Barua haina maelezo yanayojibu maswali haya: tulitenda kosa lini, kivipi, tukiwa wapi, na tukiwa na nani? ”

“Tatu, tunatuhumiwa kufanya kosa la usaliti kwa kupinga misimamo ya chama hadharani na nje ya vikao vya chama, kitendo ambacho kinadaiwa kukiuka Kanuni ya 3(a)(iii) katika Mwongozo wa Kamati za Maadili za Chama. Barua haina maelezo yanayojibu maswali haya: tulitenda kosa lini, kivipi, tukiwa wapi, na tukiwa na nani? ”

“Nne, tunatuhumiwa kufanya kosa la kujihusisha na matumizi mabaya ya madaraka/upendeleo kwa kujipatia huduma au manufaa binafsi kinyume na taratibu kwa kutumia vyeo vyetu, kitendo ambacho kinadaiwa kukiuka Kanuni ya 3(e)(ii) katika Mwongozo wa Kamati za Maadili za Chama. Barua haina maelezo yanayojibu maswali haya: tulitenda kosa lini, kivipi, tukiwa wapi, na tukiwa na nani?"

“Tano, tunatuhumiwa kufanya kosa la kukiuka sharti linalotamka kuwa kila kiongozi anatarajiwa awe na msimamo wa kuaminika, kitendo ambacho kinadaiwa kukiuka Kanuni ya 10.2(iv) ya Kanuni za Chama. Barua haina maelezo yanayojibu maswali haya: tulitenda kosa lini, kivipi, tukiwa wapi, na tukiwa na nani?"

“Na sita, tunatuhumiwa kufanya kosa la kukiuka sharti linalotamka kuwa kila mwanachama anatakiwa kujiepusha na upinzani dhidi ya chama na wagombea wake na makundi ya majungu ya kugonganisha viongozi na wanachama hasa wakati wa chaguzi, kitendo ambacho kinadaiwa kukiuka Kanuni ya 10.3(iv) ya Kanuni za Chama. Barua haina maelezo yanayojibu maswali haya: tulitenda kosa lini, kivipi, tukiwa wapi, na tukiwa na nani? ”


View attachment 1662269
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, akiwa anapanga mikakati ya kisiasa na baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu ya Chadema

Baada ya kuzitaja tuhuma zao zote, Mbunge huyo anaongeza kusema kuwa, “tayari tumejibu tuhuma hizo na majibu yetu hayana chenga hata kidogo.”

Mbunge huyo alifafanua kuwa majibu yao yako katika makundi mawili. Katika kundi la kwanza, watuhumiwa wanakanusha tuhuma zote kama zilivyoorisheshwa hapo juu.

Na katika sababu zilizo kwenye kundi la pili watuhumiwa wanahoji uhalali wa mchakato ulioutumika kuwatia hatiani.

“Mosi, katika suala la maudhui ya tuhuma, kwa kuwa uteuzi wa wabunge hufanywa kutokana na ushirikiano kati ya Ofisi ya Katibu Mkuu na Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi, na sisi sio sehemu ya ofisi yoyote kati ya ofisi hizo mbili, ni wazi kwamba sisi hatukujiteua, na hivyo, anayepaswa kuulizwa nani alifanya uteuzi wa Wabunge wa Viti Maalum wa Chadema ni ama Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, au Mkurugenzi wa Uchaguzi, Dk. Mahera, au wote wawili, lakini sio vinginevyo,” anasema Mbunge huyo.

“Na unajua baadhi yetu tulikuwa mikoani siku zile za uteuzi, kwa maana kwamba hatukuwa Dar es Salaam wala Dodoma. Ni kwa vipi tumepewa tuhuma eti za kula njama na kujiteua?” anauliza Mbunge huyo.

“Pili, ni kuhusu utaratibu. Kwa kuwa, kabla ya kikao baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu, kama vile Matibu Mkuu, John Mnyika, walikuwa mstari wa mbele kutumia mainstream and social media (vyombo vya habari vya kimapokeo na mtandao ya kijamii) kutushambulia wakijitapa kwamba wanasubiri kula vichwa vyetu, ilikuwa ni wazi kwamba, hata ndani ya kikao hakukuwa na utulivu wala usalama unaoweza kuruhusu hoja zikatolewa, kusikilizwa na kuamuliwa kwa haki bila jazba na mapigano. Ni kama tulikuwa tayari tumehukumiwa,” anasisitiza Mbunge huyo.

“Tatu, ni kuhusu utaratibu pia. Kwa mujibu wa kanuni za natural justice (kanuni za haki asilia) tulifukuzwa bila kusikilizwa. Lakini, sio haki kumhukumu mtu ambaye hujamsikiliza. Tuliomba tuhakikishiwe usalama lakini hawakutuhakikishia usalama wowote. Kulikuwa na waandamanaji Makao Makuu ya Chama na kule kwenye barabara inayokwenda hotelini ambako kikao kilipaswa kufanyika. Hata kama kulikuwa na dharula, Kanuni ya 6.5(d) ya chama inasema kuwa mtuhumiwa lazima apewe haki ya kusikilizwa, ama kupitia mkutano wa uso kwa uso au mkutano wa kidijitali inaoruhusiwa na Kanuni za chama,” alifafanua Mbunge huyo.

"Na nne, ni kuhusu utaratibu vile vile. Tunapinga mtindi wa uandishi wa tuhuma dhidi yetu. Kawaida ya kuandika tuhuma ni kwamba lazima kuwepo na mambo mawili. Moja ni statement of offence (kanuni iliyovunjwa) na jingine ni particulars of offence (kitendo na mazingira yake). Katika barua za tuhuma dhidi yetu hakuna maelezo ya kosa yenye kuonyesha kosa lilifanyika lini, wapi, kivipi, na pamoja na nani. Kamati Kuu iliandaa mashtaka ya kubahatisha tu. Kwa hiyo, tutaliomba baraza kuu ama kuielekeza kamati kuu kuandika upya mashtaka haya au kuyatupilia mbali kwa kuwa hayajakidhi vigezo vya tuhuma zinazojibika," anahitimisha maelezo yake Mheshimiwa Mbunge

Kwa kuzingatia haya yote, sasa unasubiriwa utaratibu wa kichama kuitisha Baraza Kuuu ili kusikiliza na kuamua rufaa hizi kumi na tisa.

Takribani, mwezi mmoja uliopita, Kamati Kuu ya Chadema ilifikia uamuzi huo wa kuwavua uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa mujibu wa ibara ya 5.4.4 ya Katiba ya Chama baada ya kuridhika kwamba walikiuka Katiba, Kanuni na Maadili ya Chama.

Aidha, Kamati Kuu iliwavua nyadhifa zote walizokuwa nazo ndani ya Chama na hivyo kuwataka kukabidhi mali za Chama walizokuwa nazo, sambamba na kuwazuia kujihusisha na masuala yoyote yanayokihusu Chama.

Kwa mujibu wa nakala za barua za tuhuma zilizo mikononi mwa mtandao wa Mama Amon, watuhumiwa wote walipewa njia mbili za kupitia. Njia ya kwanza ni kukata rufaa dhidi ya uamuzi wa Kamati Kuu kwa mujibu wa Kanuni ya 6.5.3 na 6.5.8 ya Kanuni za Chama.

Na njia ya pili waliyopewa watuhumiwa, kama mbadala, ni kuandika barua ya kuomba kurejea kwenye chama kwa mujibu wa Kanuni ya 6.5.4 ya Kanuni za Chama. Watuhumiwa wote waliamua kupitia njia ya kwanza, yaani njia ya kukata rufaa.

Kwa sababu ya uamuzi wao huu, jana mtandao wa
mwanahalisioniline.com, unaomilikiwa na kampuni ya Hali Halisi Publishers Limited, inayoongozwa na Saed Kubenea, uliwashutumu wabunge hawa ukidai kwamba, "kina mdee wameanzisha vita mpya Chadema," kwa sababu ya uamuzi wao wa kukata rufaa badala ya kuandika barua ya kuomba uanachama.

View attachment 1662268

Sehemu ya ukurasa kwenye gazeti la Saed Kubenea, liitwalo Mwanahalisionline.com, ukwatuhumu kina Mdee kuanzisha vita ndani ya Chadema

Hata hivyo, Mbunge aliyeongea na mtandao wa Mama Amon amepinga mtazamo huo. “Kwa kuwa haki ya kukata rufaa ipo kikatiba, sioni kwa nini vyombo vya habari vya kina Kubenea vinakuwa na mtazamo hasi dhidi ya uamuzi wetu,” alionyesha mshangao.
Asante Mama Amon , nimeisoma hii mahali
1609274573031.png

is this real or fake?.
P
1609274573031.png
 
Nope! Umeshawahi kusikia katika Nchi ambazo Rais analazimishwa kujiuzulu? Ni kwa sababu SS wamekosa imani na huyo dikteta hivyo wanamuona hafai kuendelea kuwepo madarakani kwa maslahi ya Nchi husika na Wananchi wake.

That is a a pecial case when the president irremediably becomes a threat to national security. Two options are available then. Either Kennedy route or Kigogo2014 route. But these scenarios will depend on who is in the top team of the secret service. Generally possibilities are meagre.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom