Rufaa ya kina Mdee mbele ya Baraza Kuu dhidi ya Kamati Kuu CHADEMA: Kicheko kwa G19, Kilio kwa kina Mbowe

12 million a month! That is about £4000 / $5400 a month na marupurupu juu. Chadema watakonda mwaka huu ukitilia maanani kwamba michango kwa mlevi wa konyagi mwaka huu marufuku.
 
Mama Amon. Tuseme tu ukweli. Hawa wabunge (Covid 19) . Je ingelikuwa ni Ccm wangekata hata hiyo rufaa huko Baraza kuu ?!. Tunakosa nidhamu kwenye vyama hivi visivyo na madaraka . Walichokifanya kina Mdee ukiondoa Nusrat Hanje ni utovu wa nidhamu.
Kwenye ccm wangefukuzwa na mashtaka ju, waulize kina sofia Simba na jesca mtambavasangu.Hakuna anayeweza shindana na taasisi akabaki salama kamwe
 
Haahaa halima hajui hata kuuza vitumbua, Wala kuuza matembele Kama mamilioni ya wamama wanaohangaika mtaani.Yeye alishazoea kwenda kuchota mamilioni ya walipa Kodi pale hazina kupitia bunge.Kama halima angekuwa muungwana pale mnyika alipokataa kuwatambua Mara moja alipaswa kukutana naye Kama kiongozi wake na kujiridhisha, baada ya hapo angejiuzulu ubunge.ule ndo ingekuwa uzalendo kwa nchi na chama chake
 
Msalimie NUSRAT HANJE,Ikiwezekana muulize ALITOKAJETOKAJE GEREZANI?
Haahaa baada ya kutoroshwa gerezani akachukuliwa kwa Siri na kundi la halima na kupelekwa kwenye kiapo kwa Siri bila hata mwenzio mwaipaya kujulishwa...
 
Haahaa Leo ndugai ni mtetezi mkuu wa halima mdee na ester bulaya, Maisha Haya mungu atusamehe....
 
Eithwr way hii ni aibu kubwa kwa CHADEMA.
Haahaa taasisi yoyote haiwezi haibika kwa kuadhibu wanachama wake ni uwongo, kumbuka zitto kabwe alitimuliwa chadema, pia membe alifurushwa ccm...
 
Wakijichanganya kwenye huo uhuni, wasitegemee support yetu tena. Hiyo ruzuku wataila kwa muda mfupi, ila wakija baadae kutaka support yetu watakula jeuri yao.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwani ni mara ngapi chadema inafanya madudu na bado unaisapoti?
 
Kwa hizo hoja za kuulizana hivyo mshafeli, labda kama mnatafuta majibu ya hoja zenu ili suala hilo mlifikishe mahakamani...
 
Acha ushamba ww covid-19. Unajaribu kutuaminisha kuwa Mnyika ni Mzembe kiasi hicho?? Yaani aweze kujaza jina la Mwanachama wa Chadema aliye Gerezani?? Ilikuaje basi na Tume ya Uchaguzi nayo kushawishika kwa jina la Mwanachama aliye Gerezani na kuingilia Mhimili wa Mahakama kisha kumtoa usiku usiku?? Au Chadema kupitia kwa Mnyika imekuwa na nguvu kiasi hicho?? Yaani aamuru Mahakama kisha nao kuitii amri ya Mnyika/Chadema??? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani kikao cha baraza kuu si kinaongozwa na Freeman Mbowe? Au Job Ndugai?
Usimuamini sana Mbowe
Kwenye cc hakuwa na jinsi,kwa kuwa wajumbe walichachamaa,lakini huko baraza kuu,lolote laweza kutokea,naamini Mbowe anajua kila kitu
 
Dawati Dawati yaani liwe kwa Nusrat Hanje tu?? Vp kuhusu wale Polisi waliomtwanga risasi Akwilina Akwilin kisha ninyi mkapewa Kesi na hatimae mkahukumiwa?? Dawati halikuona hilo?? Wewe akili karanga huna lolote.
 
Usimuamini sana Mbowe
Kwenye cc hakuwa na jinsi,kwa kuwa wajumbe walichachamaa,lakini huko baraza kuu,lolote laweza kutokea,naamini Mbowe anajua kila kitu
Haahaa akitaka ajishushie heshima yake aendelee kuwakumbatia hao covid
 
Habari ndio hiyo!
Kama hutaki kasage chupa unywe pelletes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…