Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,036
- 9,331
TFF msikubali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ni zaidi ya mchezo mchafu wanaweza hata badilisha mtu wakatafuta hata Wa kufanana akapelekwa TFF waongeze umakini.Nanusa harufu ya mchezo mchafu kutoka CAF.TFF kuweni makini zaidi.
kama vipi akapimwe FIFAHapo ni zaidi ya mchezo mchafu wanaweza hata badilisha mtu wakatafuta hata Wa kufanana akapelekwa TFF waongeze umakini.
wana mpango wa kuchezea mashine hao,hapo tff wakisema warud tu jamaa anaenda,anapimwa anaoneka yupo freshHapo ni zaidi ya mchezo mchafu wanaweza hata badilisha mtu wakatafuta hata Wa kufanana akapelekwa TFF waongeze umakini.
Tumewaza pamoja,na kwa Malinzi inawezekana.Huchelewi kusikia akaunti ya Malinzi imetuna,tunafuatilia
Yuko eneo la vitaKwa wadau wa soka na wenye taarifa kamili hebu tupeni matokeo ya vipimo vya kijeba wa Congo na hatma ya Timu yetu ya Taifa.
Rufaa yetu imepita?ila tukubali yule Langa Bercy mzuri sana alisumbua vijana wetu,akina Azam wamchukueTZ automatically itapata nafasi,tunasibiri tu official statement from CAF
Hajatokea kupima Carbon 14Rufaa yetu imepita?ila tukubali yule Langa Bercy mzuri sana alisumbua vijana wetu,akina Azam wamchukue
Hahaha..mkuuu carbon 14,haitumiki kwa wanamichezo.Hajatokea kupima Carbon 14
Tutatabgazwa washindi soon