Rufaa ya mchezaji Langa Lesse Bercy wa Congo Brazzaville

Rufaa ya mchezaji Langa Lesse Bercy wa Congo Brazzaville

Dogo amegoma kwenda baada ya wazazi wake kumwambia kuwa ana Umri sawa na Juma Nyoso wa Mbeya City.

Akaona bora adanganye kuwa kwao kuna vita...
 
Nanusa harufu ya mchezo mchafu kutoka CAF.TFF kuweni makini zaidi.
Hapo ni zaidi ya mchezo mchafu wanaweza hata badilisha mtu wakatafuta hata Wa kufanana akapelekwa TFF waongeze umakini.
 
Hapo ni zaidi ya mchezo mchafu wanaweza hata badilisha mtu wakatafuta hata Wa kufanana akapelekwa TFF waongeze umakini.
wana mpango wa kuchezea mashine hao,hapo tff wakisema warud tu jamaa anaenda,anapimwa anaoneka yupo fresh
 
TFF hakuna kulala mpaka kieleweke CAF wamezidi kutuonea.. Hii ni fursa kubwa kwa vijana wetu maana mascout wa timu kubwa ulaya watakuwepo
 
Kwa wadau wa soka na wenye taarifa kamili hebu tupeni matokeo ya vipimo vya kijeba wa Congo na hatma ya Timu yetu ya Taifa.
 
Juzi kulikuwa na taarifa ya kuwa huyo kijeba ameshindwa kusafiri kwenda Cairo kwa sababu eneo alilopo huko Congo kuna machafuko!,hawa jamaa wajanja sana wanaweza kuingiza minoti katika A/C ya Malinzi na ndiyo ikawa kimyaaaa.
 
au dogo kafa tayari!? maana alikua eneo lenye vita....sijui alienda kufanya nn baada ya kusikia anatafutwa na CAF!
 
Mambo ya tz bwana utacheka sana
Yaaani kulia lia tu tu
Kama ile ya alikiba hahahahahahahaha
Afu tunajitaidi kudai haki wakati huku watu wamenyimwa ajira na wanadaiwa mkopo lakini hii hatuidai
 
Back
Top Bottom