inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
serikali imeajiri chini ya watu laki 5,watz wapo 50m,kama unafikiri tatizo la taifa ni mikopo ya elimu na ajira serikalini,fikra hzo mnazo wachache,pana mengi ya kufanyaMambo ya tz bwana utacheka sana
Yaaani kulia lia tu tu
Kama ile ya alikiba hahahahahahahaha
Afu tunajitaidi kudai haki wakati huku watu wamenyimwa ajira na wanadaiwa mkopo lakini hii hatuidai
Mamelodi Sundowns wametwaa Champions League ya Africa unajua kuwa walishatolewa na wale waCongo!? Fair play ni pamoja na kuheshimu vigezo na masharti ya mchezo.Tunataka tupitie mlango wa nyuma? TFF nashauri waachane tu na hii habari, tutaenda kutia aibu huko.
bila masharti,sheria inakuwa siyo gameMamelodi Sundowns wametwaa Champions League ya Africa unajua kuwa walishatolewa na wale waCongo!? Fair play ni pamoja na kuheshimu vigezo na masharti ya mchezo.
Akipewa hela za kampeni ataipotezea rufaa yenyewe.Malinzi yuko kwenye kampeni. Wengine pale TiFitiFu hawana habari.
Labda wamenyamazishwa. Tz yote yawezekanaHivi rufaa hii imeishia wapi
Kinachokera zaidi hata waandishi wa habari hawahoji chochote kuhusu hiloKwa nini TFF haitoi taarifa kwa wananchi kilichojili, wao huwa wanaomba tu ushirikiano siku za mechi maana kuna mahesabu.
Siku wakijua wahoji na gharama tulizotumia ktk hii rufaa mbuzi ,usikute ili njia ya kupiga hela tu,wajumbe walioenda ni wangapi na akina nani?Kinachokera zaidi hata waandishi wa habari hawahoji chochote kuhusu hilo
Hahaha ..changa la macho...hapo watu walitaka hy hela waitoe wafanye kampeni...Kama ilivyoripotiwa hapo awali, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) baada ya kutoridhika na kujiridhisha kuwa mmoja wa wachezaji wa Jamhuri ya Congo-Brazzaville, alikiuka kanuni za mashindano ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 17, mwaka huu lilimkatia rufaa mchezaji Langa-Lesse Bercy katika Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF).
Kutokana na rufaa hiyo dhidi ya mchezaji huyo wa Congo, Langa Lesse Bercy, CAF liliagiza apelekwe Makao Makuu ya Shirikisho hilo, lililoko Cairo, Misri kwa ajili ya kurudia na kuthibitisha umri wake kwa kipimo cha MRI (Magnetic Imaging Resonance).
TFF iliagizwa na CAF igharimie zoezi zima ikiwa ni pamoja na kulipia gharama za usafiri wa mchezaji husika na daktari wake pamoja na kulipia gharama za vipimo. TFF ilikubaliana na matakwa hayo ya CAF na kulipia.
Kipimo ilikuwa kifanyike leo Novemba 19, 2016 saa 5.00 asubuhi mjini Cairo, Misri. Ujumbe wa TFF wa watu wanne ukiambatana na madaktari wawili uliwasili mjini Cairo tangu Novemba 17, 2016 ili kuwa shuhuda wa zoezi la kipimo hicho.
Jana usiku saa 5.00 TFF ilipokea ujumbe kutoka CAF kuwa mchezaji Langa Bercy ameshindwa kusafiri kwenda Cairo kwa kuwa yuko katika eneo lililoko "vitani",eneo hilo halikutajwa.
TFF inaendelea kufuatia kwa karibu jambo hili ili kuhakikisha haki inatendeka .
Kadhalika Aidha TFF inaomba wadau wa mpira wa miguu wawe na subira katika kipindi hiki.