Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Habari Wadau,
Naomba kujua rufaa waliyokata Yanga dhidi ya Mamelodi kuhusiana na maamuzi ya Mwamuzi kukataa goli la Azizi K kwenye mechi ya robo fainali mkondo wa pili huko Afrika Kusini kati ya Yanda na Mamelodi, majibu yake yanapaswa kutolewa lini kwa mujibu wa sheria na kanuni za CAF?
Japo hakuna kitachobadilika, ila ni muhimu haki itendeke ili historia iandikwe kwa usahihi na si vinginevyo.