Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
We utakuwa kolo tu!!!Yatatoka muda wowote na mechi itarudiwa upya.....πππ
Yatatoka muda wowote na mechi itarudiwa upya.....πππ
Yanga hawakukata rufaa bali waliwasilisha malalamiko yao. Malalamiko na rufaa ni vitu viwili tofauti.Habari Wadau,
Naomba kujua rufaa waliyokata Yanga dhidi ya Mamelodi kuhusiana na maamuzi ya Mwamuzi kukataa goli la Azizi K kwenye mechi ya robo fainali mkondo wa pili huko Afrika Kusini kati ya Yanda na Mamelodi, majibu yake yanapaswa kutolewa lini kwa mujibu wa sheria na kanuni za CAF?
Japo hakuna kitachobadilika, ila ni muhimu haki itendeke ili historia iandikwe kwa usahihi na si vinginevyo.
Sawa, hayo malalamiko hayapaswi kujibiwa?Yanga hawakukata rufaa bali waliwasilisha malalamiko yao. Malalamiko na rufaa ni vitu viwili tofauti.
Yanaweza kujibiwa kama yalikuwa na maswali ila kama yalikuwa ni malalamiko tu yasiyokuwa na maswali ndani yake, basi majibu siyo ya lazima mradi malalamiko hayo yamefika.Sawa, hayo malalamiko hayapaswi kujibiwa?