Pre GE2025 Rufiji: Akina mama wagalagala chini kumpokea Mbunge Mchengerwa Ikwiriri

Pre GE2025 Rufiji: Akina mama wagalagala chini kumpokea Mbunge Mchengerwa Ikwiriri

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Hivi ndivyo Mbunge Mohamed Mchengerwa ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI alivyopokelewa jimboni Rufiji, Ikwiriri na akina Mama kwa kugalagala.

Soma Pia:

IMG_0131.jpeg


IMG_0130.jpeg


IMG_0132.jpeg
 
Hope wamepewa nauli ya kesho ijumaa kuingia Kariakoo na City Centre kwenda kuomba omba kwa makundi kila mmoja Tsh mia kwenye maduka ya wahindi na waarabu koko wa sehemu tajwa.

Ukiwakuta wakitia huruma wapewe chochote kitu kwenye maduka ya watu huwezi ukaamini kama ni hao wanaobinuka sarakasi hapo,hovyo kabisa sipati picha jamii wanayoilea ina uelewa gani wa maisha.
 
Back
Top Bottom