Pre GE2025 Rufiji: Akina mama wagalagala chini kumpokea Mbunge Mchengerwa Ikwiriri

Pre GE2025 Rufiji: Akina mama wagalagala chini kumpokea Mbunge Mchengerwa Ikwiriri

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Watu wa huko ni kuwanyoosha tu
Wakiingia kwenye 18
Maana wao wanachojua ni kugaragara tu

Ova
 
Hapo changa la macho ndugu,hayo ni kwa wana ccm pekee,na duniani huyapatimoo mamboo hayooo.
Maendeleo hayana Chama, ndiomana SGR viongozi wa CHADEMA wakienda Dodoma ndio usafiri wao mkubwa cku hizi.
 
Back
Top Bottom