Pre GE2025 Rufiji: Akina mama wagalagala chini kumpokea Mbunge Mchengerwa Ikwiriri

Pre GE2025 Rufiji: Akina mama wagalagala chini kumpokea Mbunge Mchengerwa Ikwiriri

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
kugalagala kote na kura za hapana zipoo hapo😂😂
 
Hahahaaa,kwa hiyo hii ndio nini sasa!
Tz tuko na long way to go.
 
Kama ni mke wangu huyo atakuta vitu vyake vyote nje harafu heri abebe aende Kwa nchengerwa ila akithubutu kuongea LOLOTE atasababisha mengine
 
Awa ni nyege tu ukichanganya na stress za ugumu wa maisha wanakuwa vichaa.
 
Bado Taifa letu linaendelea kupambana na wale Maadui watatu aliowataja Hayati Mwl. JKN.
1. Maradhi
2. Umaskini
3. Ujinga
Sijajua kama kuna tathmini huwa zinafanyika kuangalia hawa maadui watatu tunawaangamiza au wameanza kutuzidi.
C.B
 
Nyerere alikuwa sahihi kabsa kuorodhesha umasikini pamoja na ujinga kama maadui wa taifa! 😔 Unagalagala leo ili wakugalaze miaka mitano 😃 nchi ngumu sana
 
Hivi ndivyo Mbunge Mohamed Mchengerwa ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI alivyopokelewa jimboni Rufiji, Ikwiriri na akina Mama kwa kugalagala.

Soma Pia:

Umaskini wa akili ni hatari kwelikweli. Wanaendeleza alipoishia mhagama.
 
Back
Top Bottom