Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Nchi inasafari ndefuHivi ndivyo Mbunge Mohamed Mchengerwa ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI alivyopokelewa jimboni Rufiji, Ikwiriri na akina Mama kwa kugalagala.
Usisahau kumuomba hela ya sabuni 😄Namie siku mbunge wangu akija nitampokea hivi, nitagalagala kwenye vumbi balaaa.....
Nagalagala na kitenge cha chama ataelewa tu....Usisahau kumuomba hela ya sabuni 😄
Ova
Tusome hapa : Kuelekea 2025 - Mbunge yeyote anayerudi jimboni leo miaka zaidi ya 5 imepita kutembelea jimbo asichaguliwe tenaHivi ndivyo Mbunge Mohamed Mchengerwa ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI alivyopokelewa jimboni Rufiji, Ikwiriri na akina Mama kwa kugalagala.
Soma Pia:
- Waziri Jenista Mhagama agalagala chini ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia kwa miradi jimbo kwake
- Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025