Pre GE2025 Rufiji: Akina mama wagalagala chini kumpokea Mbunge Mchengerwa Ikwiriri

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
kugalagala kote na kura za hapana zipoo hapo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hahahaaa,kwa hiyo hii ndio nini sasa!
Tz tuko na long way to go.
 
Kama ni mke wangu huyo atakuta vitu vyake vyote nje harafu heri abebe aende Kwa nchengerwa ila akithubutu kuongea LOLOTE atasababisha mengine
 
Awa ni nyege tu ukichanganya na stress za ugumu wa maisha wanakuwa vichaa.
 
Bado Taifa letu linaendelea kupambana na wale Maadui watatu aliowataja Hayati Mwl. JKN.
1. Maradhi
2. Umaskini
3. Ujinga
Sijajua kama kuna tathmini huwa zinafanyika kuangalia hawa maadui watatu tunawaangamiza au wameanza kutuzidi.
C.B
 
Nyerere alikuwa sahihi kabsa kuorodhesha umasikini pamoja na ujinga kama maadui wa taifa! ๐Ÿ˜” Unagalagala leo ili wakugalaze miaka mitano ๐Ÿ˜ƒ nchi ngumu sana
 
Umaskini wa akili ni hatari kwelikweli. Wanaendeleza alipoishia mhagama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ