Hiyo ni lowloader wagon.Siamini Yani Hilo chuma ni USD 1000000/= TSH billion mbili mmmmh
Tazara palishakuwa mahali pa upigaji. shirika lilishasuswa kiaina fulaniSiamini Yani Hilo chuma ni USD 1000000/= TSH billion mbili mmmmh
Msemaji wa TAZARA amesema behewa hilo limenunuliwa kwa dola za kimarekani milioni mojaHiyo ni lowloader wagon.
Kalinunue lako la bei nafuu, upate tenda ya kusafirisha mizigo ya Stiglaz.Siamini Yani Hilo chuma ni USD 1000000/= TSH billion mbili mmmmh