Rugby World Cup 2011.. LIVE

Rugby World Cup 2011.. LIVE

naona warussi wameingia mjini na mademu wakali kweli...hahaha!
 
Sasa kati ya AB na Japan nishabikie nani maani hii mechi ya leo nikienda against najitafutia kesi
 
12 - 0 hawa Japan bure kabisa wanakimbia kimbia tu uwanjani they've got no plan at all
 
Kwa style hii leo napumzika tu duh 7-0 nyie ni waonevu kabisa lol!!!

ndo tunaanza lol (nilikupa uchaguzi wa kwanza ukakata kuchagua ) utakoma

12 - 0 hawa Japan bure kabisa wanakimbia kimbia tu uwanjani they've got no plan at all

hahahahaahh (AB team nzuri Japana hata wapige sarakasi hawatafua kitu)

umeona sasa 0 Jap 24 AB ... hata half time bado..
 
ndo tunaanza lol (nilikupa uchaguzi wa kwanza ukakata kuchagua ) utakoma

hahahahaahh (AB team nzuri Japana hata wapige sarakasi hawatafua kitu)

umeona sasa 0 Jap 24 AB ... hata half time bado..
Leo wacha nikae kimya tu maana hata ukiishabikia timu unapoteza energy bure bora hata jana Russia
 
All Black Andy Ellis passes the ball from the base of a scrum.
 
5639924_600x400.jpg
Andy Ellis of the All Blacks goes over to score his try.
 
Duh!!! Inakaribia kuwa kama Basketball sasa

Na bado nimepanga watafika 60 leo....lolz...
halafu sasa hii sio Team A kamili ya AB
Mc Cower, Dan Carter na wengine watatu
hawachezi leo...
 
Back
Top Bottom