The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Hahaha!!! Yule jamaa nimemuona sijui alikuwa anafikiria nini lol!!!hahahahah haya bana ..
Nlikuwekewa picha nyingine ya yule
Mkenya anae kimbia uchi kwenye naona wameondoa lolz...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha!!! Yule jamaa nimemuona sijui alikuwa anafikiria nini lol!!!hahahahah haya bana ..
Nlikuwekewa picha nyingine ya yule
Mkenya anae kimbia uchi kwenye naona wameondoa lolz...
Naona kocha aliishawasoma hawa Japan vizuri maana hawatoi upinzani kabisaNa bado nimepanga watafika 60 leo....lolz...
halafu sasa hii sio Team A kamili ya AB
Mc Cower, Dan Carter na wengine watatu
hawachezi leo...
Natamani final iwe All Blacks na Australia or South Africa83 All blacks VS 7 Japan..
Final score..
If it happens sijui itabidi unidai nini aiseemi nadhani itakuwa
All Blacks NZ VS Wallabies OZ....
hahahahahaah lol
Naona zawadi zangu zazidi kujipanga tu..
ngoja nijenge nyumba yingine ya kuzihifadhi lolz...
hahahaha
kutakuwa na game nzuri lakini
AB watawapiga chini wote hao Guarantee.....
<font size="3">All blacks wazushi. wamepumzisha wachezaji kwa ajili ya France. Sasa France itapumzisha wao kwenye hiyo game. For them its a meaningless game!</font>
Akili nywele ......
Utafanyalo uwezalo ku win.. ilimradi usi cheat.
Hata hivyo walimweka Son Bill baada ya half
Time .. (wasn't necessary ) maana walichajua
Watashinda.. sasa we ulitaka wa muweke
Carter na MC Cower ya nini.. si bora wapumzuke tu..after all watahitajika zaidi huko majuu..