Rugby World Cup 2011.. LIVE

Na bado nimepanga watafika 60 leo....lolz...
halafu sasa hii sio Team A kamili ya AB
Mc Cower, Dan Carter na wengine watatu
hawachezi leo...
Naona kocha aliishawasoma hawa Japan vizuri maana hawatoi upinzani kabisa
 
Alisi Tupuailai of Japan tackles Colin Slade of the All Blacks.
 


All Black replacement Sonny Bill Williams scores and celebrates with All Black second-five Ma'a Nonu.
 
Ma'a Nonu mchezaji mzuri sana

Sana tena sana
Lakini huyu Sonny Bill Williams ndo anaengelewa kupita kiasi sas
ni kama kipindi kile Dan Carter alivyoingiaga.. Sonny anacheza vizuri sa
na atafika mbali sana..
 
Lol!!!!

AB vs FRANCE
AB vs CANADA

At least hapa kidogo mnaweza pata upinzani ila sio sana

hahahaha
kutakuwa na game nzuri lakini
AB watawapiga chini wote hao Guarantee.....
 
All blacks wazushi. wamepumzisha wachezaji kwa ajili ya France. Sasa France itapumzisha wao kwenye hiyo game. For them its a meaningless game!
 
<font size="3">All blacks wazushi. wamepumzisha wachezaji kwa ajili ya France. Sasa France itapumzisha wao kwenye hiyo game. For them its a meaningless game!</font>

Akili nywele ......
Utafanyalo uwezalo ku win.. ilimradi usi cheat.
Hata hivyo walimweka Son Bill baada ya half
Time .. (wasn't necessary ) maana walichajua
Watashinda.. sasa we ulitaka wa muweke
Carter na MC Cower ya nini.. si bora wapumzuke tu..after all watahitajika zaidi huko majuu..
 

Sonny hawezi game kubwa wakija SA, Australia, England....hana nafasi pale!
hawakutaka kumpa Mc cower 100th cap kwene hichi ki-game ndo maana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…