Rugby World Cup 2011.. LIVE

Rugby World Cup 2011.. LIVE

England lock Louis Deacon runs at French prop Nicolas Mas.
 
Toby Flood of England is tackled by Pascal Pape and Jean-Baptiste Poux of France.
 
Weldone France

Final Score

England 12 France 19.

France earn Semifinal against Wales next weekend ...
 
I cant wait to see how England will be complaining in the newspapers and website maana huwa wanajua kupiga domo sana wakitolewa luckily enough wame-qualify kwenye EURO 2012
 
South Africa vs Australia
New Zealand vs Argentina

This matches will be tight

Kesho ni hakuna kulala mpaka kieleweke...

South Africa VS Australia.. Hii itakuwa game ya kufa mtu..
wote hawa ni top team na hakuna kitu ambacho hawakipendi
kama kutolewa kwenye quarterfinal .... either way lazma mmoja aende
home....
 
I cant wait to see how England will be complaining in the newspapers and website maana huwa wanajua kupiga domo sana wakitolewa luckily enough wame-qualify kwenye EURO 2012

Captain wa England dahhh
kaongea mpaka namuonea huruma...

lakini France walicheza game nzuri sana...
Good defense , awesome tackles walistahili ule ushindi..
 
Kesho ni hakuna kulala mpaka kieleweke...

South Africa VS Australia.. Hii itakuwa game ya kufa mtu..
wote hawa ni top team na hakuna kitu ambacho hawakipendi
kama kutolewa kwenye quarterfinal .... either way lazma mmoja aende

home....
Hii game hadi nashindwa kutabiri hii game nani atashinda
 
oh, i missed todays games... nani ana stream ili nisikose games za kesho?? ESP wanaonyesha??

Maana huku nilipo jamaa sio kama wanapenda rugby
 
having number 15 jersey in my suitcase, i will deffo go for south africa, but it is a tough game to call
 
ngoja ni update hii thread halafu tuta dundana baadaye ..
jitayarishe .🙁

Tutadundana? Sasa we utaniweza?hahahaha...haya bwana!
Umeona jinsi France ilivyojikakamua? kudadadeki, sio ile timu ilifungwa na Tonga kabisa!
Vijamaa vilicheza southern hemisphere style in the first half.
Kesho njoo kucheki game pale mahali. Ni raha kweli. Sema bia bei mbaya...kwa hiyo njoo ukiwa tungi tayari...hahaha!
alafu dada mzuri vipi? Kapotea ghafla...lol!
 
Hii game hadi nashindwa kutabiri hii game nani atashinda

kwa kifupi mi nataka South Africa washinde ..

itapendeza zaidi kuona NZ VS SA in semis ..
Ila you never know .. Robbie Deans amewapeleka OZ
to another level kwa kweli he is such a good coach..

Tusubiri tu kwa kweli..
 
Huyo jamaa anaitwa ma a nonu nmemcheki live, yuko safi sana, rugby kwa hawa jamaa ni sehemu ya maisha yao(culture)
 
oh, i missed todays games... nani ana stream ili nisikose games za kesho?? ESP wanaonyesha??

Maana huku nilipo jamaa sio kama wanapenda rugby

oohhhh Pole sana ..

angalia tu kwenye internet game ya jana ..
ila utamu unapungua sababu umesha jua nani alishinda..

usikose tu game ya leo ...
ngoja nkutafutie site ambayo unaweza kuangalia online...
 
Tusubiri leo ndo leo south vs australia! hapatatosha ndani ya wellington stadium, bonge la game..............ticket ninayo tiyari nasubiri muda ufike hahahhahhah! go south africa!
 
Huyo jamaa anaitwa ma a nonu nmemcheki live, yuko safi sana, rugby kwa hawa jamaa ni sehemu ya maisha yao(culture)

hahahahaha lol
wengi wanamfahamu huyu jamaa sababu ya rasta zake na Viatu vyake vya orange lol
Jamaa anacheza game nzuri sana huyo.. Kabisa Rugby ni Dini kwao kwakweli...
Finger cross washinde hii World cup kwenye udongo wao..
 
Tusubiri leo ndo leo south vs australia! hapatatosha ndani ya wellington stadium, bonge la game..............ticket ninayo tiyari nasubiri muda ufike hahahhahhah! go south africa!

dahhhh kumbe uko NZ sasa
Hongera mkuu .. Vipi upepo hapo Wellington..

Hopeful SA watashinda sasa wanawashabiki tosha hahah lol
Nichukulia signature ya Brian Habana .. (Ukimuona) lol

Hii game ni ya kufa mtu kwa kweli ..
 
having number 15 jersey in my suitcase, i will deffo go for south africa, but it is a tough game to call

Very Tough game ..
Is always good to see big nation battle thou ..
 
Back
Top Bottom