Ruge achemsha: Fiesta yamdodea

Hamkuandaa maandalizi ya kumhujumu kweli? Hii habari iko sawia na kilichotokea, japo ilikuja mapema sana.
 
daah kwa nilichokiona jana usiku..!nimeani kweli fitna ni noumer
 
duuu watu mna midomo hatari sana.
 
Ruge inabidi ajue roy anamkimbiza kimyakimya kwani ile kili music tour na ujio wa p square umeidhoofisha fiesta na hata wasanii wamekuwa pande mbili. .juzi nilikuwa maisha club kule v.i.p akaja davido na company yake, kuthibitisha hakubaliki watu walimvalia kama hawamuoni na wasanii kibao hawakumjoin zaidi ya diamond na vimalaya vichafu ila wanyamwezi tulikuwa hatuna habari...next tym ruge alete mtu anayekubalika bongo si hawa wa kuungaunga
 

Mkuu Roy ni nani?
 
Clouds wameharibu image yao wenyewe.tulimwambia Kusaga aache siasa afanye burudani zilizomtoa.
Lakini pia ugomvi na wasanii usioisha.
 

Mwendo wa kina east afrc kama hawako siriaz,,kumbe wamejipanga sana..Na wanasapoti na baraka kubwa sana toka kwa magwiji wa burudani mjini hapa..na kuna sura flani zimeingia pale ukiziona kama washamba flani ila wameibadilisha sana kambi ile culture ya ubitoz imepungua sasa wanabuni sana na wanazidi kujisogeza kwa raia kila kukicha...Ngojea advataiz wataionyesha November.
 
Sasa wewe umekuaje limedorola wakati haijafanyika?,pia umesema kukosekana msanii wa kimaraifa,sasa huyo p square si ni nigeria sawa na hawa akina davida na jmartin?,au umetumwa?,maana hueleweki ati unataka kusema nini hapa


ulisema mkuuu sishangai
 
Sasa wewe umekuaje limedorola wakati haijafanyika?,pia umesema kukosekana msanii wa kimaraifa,sasa huyo p square si ni nigeria sawa na hawa akina davida na jmartin?,au umetumwa?,maana hueleweki ati unataka kusema nini hapa

Bila shaka utakuwa hujui kabisa muziki na nguvu ya matamasha, umetumwa tu kujibu. Sasa Davido naye ndo wa kumfananisha na P Square? Huko ni kama kufananisha Bajaj na Scania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…