Lucky01
JF-Expert Member
- Nov 19, 2016
- 214
- 174
Huwa anawaambiga wawe na shelf life Kama Chibu na perfume yake,Sure man...
Inaelekea clouds fm wafanyakazi wake wanaenjoy kazi yao na wanapata opportunities nyingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa anawaambiga wawe na shelf life Kama Chibu na perfume yake,Sure man...
Inaelekea clouds fm wafanyakazi wake wanaenjoy kazi yao na wanapata opportunities nyingi.
Ni kama obit ya huu muziki wa bongofleva,akikohoa watu wanalala njaa mjini..Ruge ndo nani
Kwani hujasoma huko juu ruge ni wakili wa Trump aliempeleka Mrisho Ngasa dawasco halafu sirro akanunua vocha ya airtel kulipia tiketi ya ndege iliyopata ajali daraja la salenda kwenye kona ya kwenda kigogo karibu na mkutano wa makonda ili maji yasilatike tena inabidi tuwe tunafanya sana mazoezi kwa ajili ya kila jumamosi kwenda karume kupanda meli ili safari ya kuhamia dodoma ikamilike watu wote waandamane [emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji482] [emoji482] [emoji482]Ruge ndo nani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani hujasoma huko juu ruge ni wakili wa Trump aliempeleka Mrisho Ngasa dawasco halafu sirro akanunua vocha ya airtel kulipia tiketi ya ndege iliyopata ajali daraja la salenda kwenye kona ya kwenda kigogo karibu na mkutano wa makonda ili maji yasilatike tena inabidi tuwe tunafanya sana mazoezi kwa ajili ya kila jumamosi kwenda karume kupanda meli ili safari ya kuhamia dodoma ikamilike watu wote waandamane [emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji482] [emoji482] [emoji482]
Unaweza kuwa na shule lkn hujaelimika bora na ambe hana shule,Nampenda sana Ruge,anajua kutumia nafasi,siyo yule wa darasa la saba analialia tu kwenye facebook,shule nayo inasaidia jamani
Unajua kila mtu ni mpekee,huo ni mtazamo wako kutokana na alivyokufanyia mpaka kumkubali,huyo jamaa ana wivu sana anapenda sifa km kabila lake,hapendi kabisa aone mwenzake anatoka kimaisha, ndio maana anambania jide, lkn kumbe jide mjanja anaenda kwny media nyingine,na anatoka tu,kwa mwanaume Hiyo tabia sio,kwetu anavalishwa delaSure man...
Inaelekea clouds fm wafanyakazi wake wanaenjoy kazi yao na wanapata opportunities nyingi.