Ruge atimiza miaka 49, happy birthday Mdau

Ruge atimiza miaka 49, happy birthday Mdau

Pamoja na madhaifu yake ya kukosa masikio anatosa mtu? Mimi napenda wahenga wenzangu vijana siwawezi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umenikumbusha ule Uzi waliomuanzishia kumsema hana masikio
 
Wakati gani unaongelea?


Halafu kumbuka huyo ni Rafiki tu wa ndugu yako, ametoa wapi confidence zakutaka ndoa na Miss Natafuta?
Sababu zipo nyingi ila ananijua vizuri pia anaijua familia yangu ni ya aina gani
 
nimependa chat za Ras Jeff kapita na Miss Natafuta[emoji176] [emoji12]
 
Eehhh nilizani nimezeeka na miaka yangu hii 34,kumbe bado kinda kabisa?? Mzee Baba Ruge kumbe keshatafuna nusu karne??
 
Nilitoka kwa tahadhari kwa maana ya kupunguza tamaa za mwili
lkn sikumpa mtu mimba kiasi cha kumdhalilisha mke wangu.
Mimba ungekua mwanamke kuna uwezekano ungepata
Ndo mana hata yeye alijaribu kuitoa baada ya kutokea hakua na nia ya kuzaa...ss unahukumu vp wkt wew mwnyw ulichepuka
Mimba bht mbaya
 
Never, tumeondoka na vidonda vyetu
mpaka leo sija recover najisahaulisha tu
Wanaume bana ts weird mnoo unavogoma kumsamehe wkt na wewe ulimsaliti...mimba ungekua wa kike hata wewe ungeweza pata au ungeweza mpa mtu ni bht mbaya

Endelea kujisahaulisha mkuu hamna namnaa
 
Ku- cheat ni kosa kubwa sana, sembuse kupewa ujauzito
na kufanya attempt ya kutoa mimba ni kosa jingine
she really want to tek me for a fool.....
mambo mengine tunayaachaga tu yapite
leo nimefunguka yote humu but nashukuru hakuna anayejua ID yangu
kuchapiwa mke ni jambo la aibu kabisa....
Ni kweli bt u need to own ur part of the fall..ur absence ndo chanzo..uko huko unakaza mtu na we ukasaidiwa..haupo miaka mi4 ulitegemea nini?.
Mimba angeiacha kwa hio.?ingebakisha ndoa yenu?.
 
Ku- cheat ni kosa kubwa sana, sembuse kupewa ujauzito
na kufanya attempt ya kutoa mimba ni kosa jingine
she really want to tek me for a fool.....
mambo mengine tunayaachaga tu yapite
leo nimefunguka yote humu but nashukuru hakuna anayejua ID yangu
kuchapiwa mke ni jambo la aibu kabisa....
We jamaa bana,umuache mke miaka minne,ulitegemea asipigwe mashine? aibu umeitaka mwenyewe,ungekuwa na akili wakati unaondoka ungemtia mimba atleast ungempunguzia kasi ya kutiwa nje...
 
Akina Soudy tu wanashindwa kuripoti vimeo vyake sababu bosi wao,ila huyu mzee konyo ANAJUA KUWASAPOTI WA DADA KIMZIKI na anawasapoti HASWA.
 
Back
Top Bottom