Ruge atimiza miaka 49, happy birthday Mdau

Ruge atimiza miaka 49, happy birthday Mdau

atasubiri afike 70 aoe kabinti ka miaka 20 kamuue kwa heart attack.
Hakuna kitu kama hicho.Baba yangu mkubwa ana miaka 73,kaoa mke wa tatu binti wa miaka 22.
Na yuko fiti balaa.

"Kadri mvinyo unavyokaa muda mrefu ndio unakuwa mtamu zaidi.
 
Wanaume bana ts weird mnoo unavogoma kumsamehe wkt na wewe ulimsaliti...mimba ungekua wa kike hata wewe ungeweza pata au ungeweza mpa mtu ni bht mbaya

Endelea kujisahaulisha mkuu hamna namnaa
Wanaume ni jambo la asili kwetu kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja.
Sasa na nyinyi wanawake mnataka kushindana na wanaume,ndio maana kuna kansa ya kizazi.Hii ni asili ya maumbile.
 
Huyu Jamaa kaanza zamani sana nakumbuka enzi za Kina Odemba Faces International 1997 au 1998 yupo kwenye majukwaa ya urembo kaanza zamani sana,jamaa ana mwili mkavu sana.
 
Nilidhani huyu mtani ana 30s..kumbe hata me anaweza kunizaa? Sasa mbona bado anahangaika na vibinti vidogo mpaka Leo?
 
Wabinafsi kweli. Kuna mbaba ana kama 60yrs anakaa mitaa ya kwenu kama Rainbow kwa chini. Yule baba kilio chake kikubwa ni ndoa. Ana maisha akitaka mwanamke yeyote anampata ila haoni aoe nani. Anaishia kuwatia anaacha ila akikaa ni ndoa ndoa tu
Unakuta dogo ana miaka 25 wewe una 35 .anakudai umuoneshe kwenu apeleke mahari.unamuuliza dogo mama yako utamuambia Mimi nani? Ahahaa vina confidence balaa kuna shosti wangu ana miaka 42 kaolewa juzi na dogo wa miaka 28. Mi nitakomaa na wahenga tu kwa kweli ahahaaa

[emoji2] [emoji2] Kumbe kwa umri wa miaka 25-28 bado unakuwa ni "dogo" eeh!??
 
Back
Top Bottom