Ruge azidi kumchukulia watangazaji Mengi

Ruge azidi kumchukulia watangazaji Mengi

Jamaa wanatesa EFM
aah...acha clouds wampokonye mzee wetu manake na yeye anapoteza watu tu...fetty alisha poteaga..likudaz..nae tayar...musa wa husein nae haelewek...DND nae mbelee. sa sipat picha millard ayo..kibonde....Bdozen wakiondoka
 
Mengi anamiliki Radio one, Capital radio, EA radio na Ruge anamiliki Clouds fm na Choice fm. Sasa watangazaji wengi wa Mengi wanakimbilia kwa Ruge.

Tuwaorodheshe; Milard Ayo, Sebastiani Maganga, Kennedy the remedy na juzikati tena amewanyakua Dj Sinyorita na Mamie babie. Hatujakaa sawa mara kawanyakua tena Hasan Masale na DJ Muba na sasa wapo Choice fm.

Mbona anamuandama sana baba wa watu jamani kwani hakuna redio zingine? Tusubiri kusikia Sam Misago nae kachukuliwa.

Kazi ipo hizi media..


Ukiona hivyo basi juwa kuna ubabaishaji hapa. In short, Tanzania hakuna watangazi tena zaidi ya wababaishaji na haswa hizo redio tajwa ndizo zinazo ongoza kuwa na watangazaji wa vijiweni, yaani wanaokotwa tu kujaza nafasi kama sio kuwa chakula cha maboss.
 
Hivi clouds Ni redio au chombo cha mziki na Dans embu kuweni na uelewa huwezi fananisha maziwa na tui
 
Hao watangazaji mbona hawajulikani? Nilidhani ni kina Buhohela hivi
 
Iko hiv ukiwa IPP Media lazma ufuate wanavotaka Clouds kuna Fursa ya ubunifu differ na IPP wanawabania so akipata Clouds anaenda huoni SoudBrown na kipind chake cha Gossip cop
 
sasa ulitaka wafanye kazi sehemu moja maisha yao yote...waache wa change environment
 
Back
Top Bottom