Ruge azidi kumchukulia watangazaji Mengi

Ruge azidi kumchukulia watangazaji Mengi

Kusaga ni CEO wa Clouds media ambayo ndani yake kuna clouds radio,clouds tv na choice fm
Ruge ni mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji
jamaa inaonekana ana mkwanja kino, kwani anafanya biashara gani?
 
sperm donor yaweza kuwa kuna anayeviziwa hapo kwa hizo radio huu mchezo hautaki hatari baba Maur...
 
Yaani nilikuwa natafuta station kufika choice FM nikajua niko capital radio. Choice FM naona kama imepotea.
 
Mana kuna siku nilikuuliza nawe ni msaanii ukajibu ndiyo tena wakufokafoka ndo mana nikawa nashangaa hadi leo sijalitia sikioni songi lako
We umechanganya mambo.sijawahi kuongelea suala hilo na mtu yeyote na sina hata kipaji hicho cha kuimba
 
ukiweza kupita EATV unakua unakubalika kwenye media zooote Tanzania nzima kwa kifupi IPP media hana mpinzani...katika kutengeneza watu...professionally..
Kuna kabinti kanaitwa queen fifi nilikasikia kwenye the cruiz aisee kanajua lazima nako wakaibe..! Hawa IPP wana jicho kali la kuona vipaji halafu wanajua kuwatengeneza ..
 
Nachukia wale watu watatu kwenye Clouds Tv 294 ya DSTV wanaboa wanaongea as if wamekula bangi asubuhi. They do not know how to attract audience in the morning wnakalia jokes ambazo hazichekeshi wala hazina mvuto. Please stop it mna tia aibu sababu mko DSTV wenzetu majirani wanaona mnavyoboronga.
 
IV kina Gerald hando na PJ wako wapi siku iz??? au nao ndo.............
 
Back
Top Bottom