Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe mbona umeshindwa kuandika msikilize
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe mbona umeshindwa kuandika msikilize
jamaa inaonekana ana mkwanja kino, kwani anafanya biashara gani?Kusaga ni CEO wa Clouds media ambayo ndani yake kuna clouds radio,clouds tv na choice fm
Ruge ni mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji
Mi na muziki wapi na wapi mkuu?Mkuu mbona hatujasikia songi lako lolote hadi sasa hewani?
Mana kuna siku nilikuuliza nawe ni msaanii ukajibu ndiyo tena wakufokafoka ndo mana nikawa nashangaa hadi leo sijalitia sikioni songi lakoMi na muziki wapi na wapi mkuu?
We umechanganya mambo.sijawahi kuongelea suala hilo na mtu yeyote na sina hata kipaji hicho cha kuimbaMana kuna siku nilikuuliza nawe ni msaanii ukajibu ndiyo tena wakufokafoka ndo mana nikawa nashangaa hadi leo sijalitia sikioni songi lako
Madam u hali ganisperm donor yaweza kuwa kuna anayeviziwa hapo kwa hizo radio huu mchezo hautaki hatari baba Maur...
Mkuu na hivi zimepakana frequency zao sipati pichaYaani nilikuwa natafuta station kufika choice FM nikajua niko capital radio. Choice FM naona kama imepotea.
Kuna kabinti kanaitwa queen fifi nilikasikia kwenye the cruiz aisee kanajua lazima nako wakaibe..! Hawa IPP wana jicho kali la kuona vipaji halafu wanajua kuwatengeneza ..ukiweza kupita EATV unakua unakubalika kwenye media zooote Tanzania nzima kwa kifupi IPP media hana mpinzani...katika kutengeneza watu...professionally..