Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
Akiwa mwenye afya njema kabisa....picha hii ni ya jumamosi iliyopita.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiv hapo kaweka mikono mfukoni au kashikilia Suruali isianguke?KAISHA KAWA KAMA WAKIJIJINI UGONJWA NOMA SANA
Itakuwa na dawa pia zimemchosha!Kwa wanaomjua Ruge huo ndio mwili wake,ila sura imechoka nadhani kwa ajili ya kuugua kwa muda mrefu.
Sura inaongea mambo mengi, kuliko matamshi ya mdomoItakuwa na dawa pia zimemchosha!
Upo Mrs. The Bold? I miss you.Kwa wanaomjua Ruge huo ndio mwili wake,ila sura imechoka nadhani kwa ajili ya kuugua kwa muda mrefu.
Upo Mrs. The Bold? I miss you.
Vipi vitabu bado, I have been waiting for too long...........Nipo my friend,miss you more aiseeee.
Vipi vitabu bado, I have been waiting for too long...........
huyo alokumbatiwa na Ruge sijui kama aliachwa hivi hiviAkiwa mwenye afya njema kabisa....picha hii ni ya jumamosi iliyopita.View attachment 927739
Sana asee[emoji22]Sura inaongea mambo mengi, kuliko matamshi ya mdomo
Anatilisha huruma sana, na anaonekana kutamani kutoa ya moyoni ila hawezi tu, kuna jambo hapo si bure bure. Maana ule ucheshi, uchangamfu na furaha yake haipo kabisa.Sana asee[emoji22]