adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,638
As long as u dont ask and dont tellKuumwa na njaa ni vitu husononesha na kutupa hofu sana.hivi si vitu vya kumuombea mtu vimpate hata adui yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
As long as u dont ask and dont tellKuumwa na njaa ni vitu husononesha na kutupa hofu sana.hivi si vitu vya kumuombea mtu vimpate hata adui yako
RugemarenjirovwaUso wake unaonesha anaumwa......get well soon Ruge, utapona
..... hii ruge huwa ni Rugeiyamkamu au Rugemalira au rege.......nini ? Madimba jr ba jr
RugemarenjirovwaUso wake unaonesha anaumwa......get well soon Ruge, utapona
..... hii ruge huwa ni Rugeiyamkamu au Rugemalira au rege.......nini ? Madimba jr ba jr
Anaumwa nini
Msimtukane mtu anayeumwa binadamu wote sisi ni wapitaji ...tuombeane kheriUso wake. Kama wa mjamzito aliyesusiwa mimba baada ya kugoganisha mabwana.
Katika mambo muhimu ni kuwaombea wagonjwa nafuu bila kujali ni nani rafiki au sio rafiki maana sisi sote hatujui mwisho wetu na maradhi ni mengi na hayachagui. unaweza kuumwa jino siku moja tu na ukaacha kutabasamu. sisi tunajiona tukiwa wazima tu lakini kitu chochote katika mwili kikikaa sivyo tu hoi. Ni nchi hii tu huwa tunakebehi watu kakonda sasa lini mtu akaumwa halafu akanenepa? tushukuru Mungu tuna afya na tuwaombee wengine na wale wagonjwa tuwaombee.
Rugemalira mutahabaUso wake unaonesha anaumwa......get well soon Ruge, utapona
..... hii ruge huwa ni Rugeiyamkamu au Rugemalira au rege.......nini ? Madimba jr ba jr
Ndio kuna utofautihivi kukonda na kupungua kuna tofauti?
Vijana??Pole bosi ruge! Wellcome back mkuu ww ni miongoni mwa vijaa ambao taifa linawategemea