Ruge huyu hapa...

Ruge huyu hapa...

kuna neno la kuchekesha nililoandika hapo juu hebu litaje
Mkuu ushawahi kuumwa???baba ako,mama or ndugu wa karibu unayempenda ashawahi kuumwa???kama hapana hongera sana mkuu but kama ndiyo ebu jaribu kuvuta picha cku ambayo ulikuwa umetoka kuumwa or mpendwa wako ametoka kumwa alafu akakutana na hayo maneno uliyoandika hapo
 
ina maan katika wote hao walokejel umeniona mie peke yangu ndo nilocheka maan umenishupalia
Kama mtu anafanya dhihaka dhidi ya mgonjwa na wewe unachekelea na kuonesha kufurahishwa na iyo dhihaka it means unaungana nae...
 
ina maan katika wote hao walokejel umeniona mie peke yangu ndo nilocheka maan umenishupalia
Ilitokea tu nikaona comment yako so nikaona nikwambie hao wengine sijawaona huenda kutokana na muda niliokuwa naisoma hii thread but mkuu matatizo ya maradhi yakiwa kwa mtu mwingine sio swala la kuchekelea na kudhihaki hujafa hujaumbika
 
Watanzania jamani hasa wa Jamii Forum wana mioyo ya ajabu sana, unaanzaje kumkejeli mtu aliyetoka kwenye maradhi tena makubwa kama hayo ya Figo!!? sawa anatumia dawa za ARV so whaaat? yeye ni wa kwanza au yeye ni wa mwisho? ukoo wako mzima hakuna mwenye hilo tatizo? wewe je unajiona umeyashinda maradhi yote ya ulimwenguni? tujifunze kua na staha waungwana "Duniani hakuna Mwenyeji".
 
Wapuz sana!

Ova
 
Ruge hyu hapa wakati ruge yuko nje bado kuna watu bldy bstrd kwli

Ova
 
Back
Top Bottom