King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Pole sana Ruge kwa Changamoto ya ugonjwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiwa mwenye afya njema kabisa....picha hii ni ya jumamosi iliyopita.View attachment 927739
Mavidonge ya hospitalini si unajua!Dawa za nini
aruu ??
FigoAnaumwa nini
Ni huyo Ruge aliyesimama hapo na Wenzake.Ndiyo yupi kati ya hao wote?
Hawa wenzetu utawaweza na majina yao.Uso wake unaonesha anaumwa......get well soon Ruge, utapona
..... hii ruge huwa ni Rugeiyamkamu au Rugemalira au rege.......nini ? Madimba jr ba jr
Wewe rafiki yake popoma leo umeibuka!Kwa wanaomjua Ruge huo ndio mwili wake,ila sura imechoka nadhani kwa ajili ya kuugua kwa muda mrefu.
Nipo my friend,miss you more aiseeee.
hivi kukonda na kupungua kuna tofauti?Ruge ni mwembamba miaka yote
Sema lbd hapo kudhoofu tu lkn sio kusema kukonda
Mutaumwa umesahau.Hawa wenzetu utawaweza na majina yao.
Utakuta Mwingine anaitwa Muta, sasa hapo wewe utajaza mwenyewe ni Mutayoba, Mutabanwa, Mutapigwa, Mutakosa...
Madam ulikuwa wapi,Kwa wanaomjua Ruge huo ndio mwili wake,ila sura imechoka nadhani kwa ajili ya kuugua kwa muda mrefu.