Ruge huyu hapa...

Kwa wanaomjua Ruge huo ndio mwili wake,ila sura imechoka nadhani kwa ajili ya kuugua kwa muda mrefu.

Watu wengi wanaosumbuliwaga na huo ugonjwa mara nyingi sura zao na ngozi zinakosa nuru..
M/mungu amjaalie kwa kweli ..mjomba wangu ulimuondoa huu ugonjwa..nauelewa sana tu.
 
Get well soon uminyane vizuri na Wasafi...
 
Bado uso wake unatupa ishara kwanba afya haijatebgemaa kabisa...
Uso ndio display ya ubora wa afya...
 
Very sad indeed

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…