Ruge huyu hapa...

Ruge huyu hapa...

Kwa wanaomjua Ruge huo ndio mwili wake,ila sura imechoka nadhani kwa ajili ya kuugua kwa muda mrefu.

Watu wengi wanaosumbuliwaga na huo ugonjwa mara nyingi sura zao na ngozi zinakosa nuru..
M/mungu amjaalie kwa kweli ..mjomba wangu ulimuondoa huu ugonjwa..nauelewa sana tu.
 
Get well soon uminyane vizuri na Wasafi...
 
Very sad indeed

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom