TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Msemo wako katika maisha ogopa sana Technologia utaishi milele


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Punzika kwa amani na na mwanga wa milele umwangazie Ruge apunzike kwa amani
 
Aliyekuwa mkurugenzi wa uzalishaji vipindi Clouds Media Group Ruge Mutahaba amefariki dunia nchini Africa Kusini alipokuwa akipatiwa matibabu
IMG-20190226-WA0049.jpeg
IMG-20190226-WA0048.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom