TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Huko ndio patamu,ajibu vijembe vya mwezi wa kwanza Marope,jino kwa jino

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ,Paul Makonda amemlilia Ruge machozi kama mtoto ndogo wakati wa shughuli ya kumuaga marehemu Katika ukumbi wa diamond Jubilee .Tukio hili limetokea muda mfupi uliopita ,takribani SAA moja iliyopita hivyo kuwashangaza watanzania, kwani bifu la makonda na Ruge linafahamika na kila mtu .Sasa buku kumlilia marehemu ambaye una uhusiano naye mbovu kimeshangaza sana .
 
Kwani amekulilia wewe zuzu??
 
[QUOT"johnthebaptist, post: 30603484, member: 228646"]Mkuu mbona povu kama kamanda wa Ufipa?![/QUOTE]
Nawe ni mmoja kati yao! Usijishaue hapa kama uliyefumaniwa! Utaumbuka mnafiki wewe, siku yako yaja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…