Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Jamaa uana ubishi wa kitoto na ujuaji mwingi!Liweke hapa hilo tangazo, hakuna kitu kama hicho duniani na hata mbinguni yani mimi nianzishe kampuni na wewe tukapewe leseni na TCRA alafu wao ndio watangaze kuwa wewe unahisa 50 nami 50 mbona haiingii akilini hiyo kitu jukumu lao ni kutangaza nani anamiliki nini na nani hamiliki nini au ni kutoa leseni?
Hilo tangazo lilikuwepo hapa JF na mitandao mingine mingi hadi magazetini.
Sijui ulikuwa wapi wakati linasambaa?