TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Liweke hapa hilo tangazo, hakuna kitu kama hicho duniani na hata mbinguni yani mimi nianzishe kampuni na wewe tukapewe leseni na TCRA alafu wao ndio watangaze kuwa wewe unahisa 50 nami 50 mbona haiingii akilini hiyo kitu jukumu lao ni kutangaza nani anamiliki nini na nani hamiliki nini au ni kutoa leseni?
Jamaa uana ubishi wa kitoto na ujuaji mwingi!
Hilo tangazo lilikuwepo hapa JF na mitandao mingine mingi hadi magazetini.

Sijui ulikuwa wapi wakati linasambaa?
 
[emoji41][emoji41]
IMG_20190227_183644.jpeg
 
Mkuu mimi nafanya uchambuzi kutokana na posts zako.

Umesema mdogo wako aliombwa nyuma na timu ya Fiesta, hakuwapa. Nilivyoona hii post imekaa kishabiki nikawaza kwamba utakuwa ni wewe mwenyewe uliyeombwa.

Umeendelea kukataa, ukaja na post ya watu kuliwa jicho, nikawaza kupitia msemo wa "Kujuana kwa Vilemba", kwamba ni rahisi kumjua anayeliwa kama na wewe unaliwa.
Hewalaa...,hata mm nimefuatilia comments za huyu jamaa nimepata majibu pasipo shaka kuwa wanamtafuna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mtu akifa ndio kujifanya rafiki? Mbona baada ya kuvamia Clouds alikataa kumwomba radhi kwa kitendo kile leo ananjifanya rafiki?
 
Mbona huyu jamaa mnampa shavu sn baada ya kufa?? Mlikuwa wapi kumpa sifa hz kabla hajafa?? Na yy ni marehemu kma marehemu wengine. Kufahamiana na wanasiasa, sio sababu ya yeye kuonekana kama Nyerere.
Ukiwa makini, utaona hao inaosemekana amewanyanyua kifursa (wanamuziki) hawajasikika sana kama wanasiasa katika kumuongelea msibani. Waliosikika ni wanasiasa na wafanyakazi wenzake.

Event ikishikwa na Clouds FM, lazima itabamba tu, iwe msiba, harusi, birthday, kipaimara etc. Watairusha mpk basi...!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo mbinu za kuzikuza events zikabamba ndio mbinu na signature ya Ruge.

Hazibambi hivi hivi tu, na hizo mbinu zimeasisiwa na/au kusimamiwa na Ruge.
 
RC Makonda amesema kwa sasa hatasema lolote juu ya rafiki yake kipenzi Ruge Mutahaba.
Makonda amesema Ruge ni mtu muadilifu, mchapakazi na jasiri hivyo anashindwa namna ya kumuelezea na anazidi kumuomba Mungu ampe kibali na kwa kuwa ataenda Bukoba kwenye mazishi basi kwa neema ya Mungu akipata kibali ataweza kumuelezea rafiki yake huyu.

Source Clouds tv!
lakin nasikia DAB anahisiwa kuhusika.watu wananong'ona mitaani.toka alipovamia ile studio ili sinema yake irushwe akagomewa yasemekana Dab aliingia msituni.
 
Back
Top Bottom