TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..easy mkuu...was kiddng mbona unaogopa hvyo na huku sote ni njia 1??[emoji23][emoji23][emoji23]mie siwez kuwa mchawi siku 1
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani nimesound Kama nimemaind eeh? Sikasirishwagi na maneno Mimi.. Maneno hayauwi.. Mimi na wewe nani anaogopa kifo Zaid.. Halaf kifo nacho hakisemwi Sana kipo around tu. Nakumbuka kuna njia ya makaburi nilikuaga napita najisemea sijaja siku nyingi kumzika mtu hapa. Mwezi mmoja baadae mzee aliumwa wiki tu then tukamlaza hapo.. [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Yes ulimind uliposema watz wengi wachawi.ukihis mayb andiko linaweza timia..!mie naogopa sana as nna watu wanaonitegemea!...alafu nna hofu zaidi nikiona mtu kasema amemzika baba..yaan nw naishi kwa hofu sana ingawa mzee haumwi ila amefikia jion..najihis nitadata mazima
 
Sasa nimaind nn wakati akili zako za humu nazielewa.. Uwe unawaambia hao watu wamtegemee Mungu wasikutegemee wewe.. Halafu kikianza kuja utaonyeshwa tu ukikaa kwenye network nzuri na mzee baba Sir God Mwenyewe [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini hata Kristu alisema tiini mamlaka zilizopo, sasa kwa nini ndugu watake huduma ya kanisa wakati marehemu enzi za uhai wake hakulihitaji kaninisa?, lazima ulitumikie ili na lenyewe likutumikie..Kila mmoja asipotimiza majukumu ya kanisa na kanisa likafungwa siku za kufa ndugu wa marehemu wataenda wapi kutafuta huduma za kanisa wakati litakuwa halipo?! Huenda wanafanya vyema kama hukulihitaji enzi za uhai hauna sababu wakufuate ukiwa mfu.
 
kuna pointi hapo ya msingi mkuu....lakini atleat kwa maoni yangu...kanisa halin achochote linachosaidia kipindi mtu anapokua ameshakufa...kama ni kuzika anzainkwa na familia na watu wa karibu...kama ni kwenda pema basi ni jitihada za mtu binafsi kabla hajafa.....hivyo kanisa pale ni kufanya ibada ya kuwapa neno la faraja tuu wale wenye huzuni na waombolezaji.......ndio maana wale ndio wanaokuja kuomba hizo huduma za kanisa...sasa kuwanyima wale walio hai hiyo service ni kinyume kabisaaaaa na mamlaka ya huyo mwenye kanisa lake,,,,,kumbuka alisema "wenye afya hawamuitaji dakari, wanaomwitaji ni walio wagonjwaaaa..."
 
na pia mkuu kanisa haliwezi kufa kwasababu watu mtu mmoja mmoja hatoi sadaka...........eti ili kulifanya kanisa liendelee kuwepo ndio tuwatenge wasioenda kanisani..........tukitumia mfano wa baadhi ya nchi zilizoendelea, ni baadhi tuu ya waumini tena asilimia kubwa wazee, ndio active members wa kwenda makanisani......vijana hua hawana muda...lakini makanisa yao hayajafa na huko ndio hua kunatoka misaada ya kimissionari kusupport haya makanisa yetu ya africa yenye "sheria kali".......
 
Mi naona wangemzika tuu Dar Maana Ruge mtt wa kitaa amezaliwa Huko marekani amekulia Dar na ana marafiki wengi huku. Ingependeza wakamuweka huku wawaze kuwa wanatembelea atleast kaburi lake.
 
Wanaohitaji neno la faraja ni ndugu kweli lakini bila kuwaonyesha mstari ulionyooka hizo huduma hazitakuwepo, kuwanyima huduma ni kuwafanya tutii makanisa ili tupate hilo neno la faraja, sio kanisa linamchagulia mtu pema au pabaya ni matendo yako tu., Acha wafu wazike wafu wao.
 
Amani kwako.

Katika hali ambayo wale great thinker wanaweza kuona kwa njia yoyote unaweza kuangalia kilichofanyika na kinachoendelea kufanyika katika msiba wa ndugu na Mtanzania mwenzetu Ruge.

Baadhi ya watu hawakuweza kumfaham na wengine wanauliza kitaifa alikuwa ni nani huyu hata kulifanya taifa kuzizima na kumfuatilia kwa kiasi hiki.

Media coverage imefanya kazi yake na hii ndiyo nguvu ya chombo cha habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…