TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Weweeeeee! una wasimu. lazima utakuwa nshomire tu wewe. sawa bana. ila mtakufa sana usipofuta ushauri wangu
Wasimu ndo nini? Wahaya ni zaidi milion 8 nchi hii .na hakuna report yoyote kuonesha dhahiri kuwa kabila hili linatoweka? Na mkoa WA kagera ni WA tatu Kwa idadi ya watu baada ya dar na mwanza.na death yake iko chini sasa nakushangaa unaposema wanakufa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi Ruge namfahamu kama mkurugenzi wa vipindi vya clouds,sifa yake kubwa labda ni kuanzisha fiesta na kuisimamia pamoja na hayo tumesikia vimaneno kutoka kwa sugu,jay dee na baadae diamond,sijajua alikua na wadhifa gani maana nimeona mazishi yake yamehudhuriwa na maraisi wote wawili,mawaziri wakiongozwa na waziri mkuu,mkuu wa mkoa wa dar es salaam,viongozi wa dini na kila aina ya public figure,kwa kumfahamu kwangu kudogo naona kama kawa overated,kwa wanaomfahamu vizuri naomba wanifumbue macho what am i missing about this guy.RIP RUGE.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe inaonekana umeumia kwa Ruge kuagwa namna hii acha ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom